MSHAURI_WA_NCHI
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 139
- 73
Na Mtoto wakeJk hachomoi
Kwani alichomeka nini mkuu!?Jk hachomoi
Hiyo Mahakama ianze na kesi ya Zile billion 251 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kulipwa makandarasi hewa, kisha ije kwa yule aliyenunua kivuko kibovu cha Dsm Bagamoyo kwa billion 8 na kwa Mwakyembe aliyenunua mabehewa chakavu, kabla ya kuendelea na escrow, mikataba ya Gesi, madini, uuzaji mali za umma nyumba za Serikali nkLazima wa screen watu wote watako husika na hiyo mahakama kama wanataka kufanikiwa. Kwani Twakukuru, upelelezi na kwingine kote kumejaa uozo ndio sababu hakuna fisadi hata mmoja anayetumikia kifungo.
Mahakama ianze na wizara ya zamani ya Magufuli huko kuna Ufisadi mwingi kuanzia kivuko na ulipaji madeni wa kijanja janja ( kandarasi hewa) kisha uendelee kwenye pesa za chenji ya Rada, bunge la Katiba, Buzwagi, zipo pesa nyingi zimetafunwa kimya kimya Mahakama ikianza kesi zitajaa mpaka mahakimu washindwe kupumua.Je unafikiri ni akina nani watuhumiwa Wa kwanza? Usisahau kuwa mramba na yona walifikishwa mahakani na hatimaye kufungwa ikiwa ni zaidi ya miaka 6 tangu watoke madarakani.
Tegemea baadhi ya vigogo ambao kwa sasa tumeanza kuwasahau kwenye orodha ya mafisadi papa kufikishwa na hatimaye kufungwa na Mahakama hii maalumu ya kusafisha nchi.
Msaidie. Rais kwa kuwataja mafisadi hapa JF ili upelelezi uanze....
Kaka bila shaka na wewe ni fisadi au ndugu zako?Hiyo Mahakama ianze na kesi ya Zile billion 251 zilizopotea wizara ya Ujenzi kwa kulipwa makandarasi hewa, kisha ije kwa yule aliyenunua kivuko kibovu cha Dsm Bagamoyo kwa billion 8 na kwa Mwakyembe aliyenunua mabehewa chakavu, kabla ya kuendelea na escrow, mikataba ya Gesi, madini, uuzaji mali za umma nyumba za Serikali nk