Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa

Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
434
Reaction score
1,126
Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena.

Niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni ilyotegemea furaha kutoka kwangu imeumizwa na uwepo wangu. Aibu ndio utakuwa mwisho wangu.

Ahsanten wanangu
 
programmers6.jpg
 
Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena, niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni ilyotegemea furaha kutoka kwangu imeumizwa na uwepo wangu. Aibu ndio utakuwa mwisho wangu. Ahsanten wanangu
kulikoni tena mkuu?
 
Back
Top Bottom