Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa

Arch Barrel

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
434
Reaction score
1,126
Naiona nafsi yangu ikiwa kwenye mateso makubwa zaidi ya niliyo nayo kwa sasa, wakati wa furaha yangu hautakuwepo tena.

Niendako napajua ila sijui pameandaliwaje, mioyo yenu yenye huzuni ilyotegemea furaha kutoka kwangu imeumizwa na uwepo wangu. Aibu ndio utakuwa mwisho wangu.

Ahsanten wanangu
 
kulikoni tena mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…