Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,023
Baada ya Barca kupewa kipigo heavy cha 3-0 sasa anondoka rasmi mashindanoni kwa Roma kuwa na faida ya goli 1 walilopata mechi ya kwanza.

Barcelona ni team hatari sana kwa Magiant wenzao wa Spain Real madrid na nina uhakika jiji la madrid kwa sasa ni furaha mno na hii itwapa morale Real madrid kufukuzia Zaidi huu ubingwa.

Kwa team zilizobaki mashindanoni Liverpool, Roma na uwezekano wa Bayern na kwa aina ya mpira wa Real madrid nathubutu kusema hawa jamaa nawaona wakibeba ubingwa tena.
 
Tulia kwanza mbona una haraka.

Kumbuka mpira unadunda, mechi ya Madrid na Juve bado haijachezwa, hivyo ni vema ukatunza akiba ya maneno.
 
Tulia kwanza mbona una haraka.

Kumbuka mpira unadunda, mechi ya Madrid na Juve bado haijachezwa, hivyo ni vema ukatunza akiba ya maneno.
Juve wanatisha wakiwa kwao, miaka ya nyuma kidogo, Juve alichezea kichapo heavy Bernabeu, lakini jamaa walipotua Turin tu, wakagongwa 4oclock na kuaga mashindano......
 
Kombe la Bayern msimu huu
 
Naunga mkonyo hoja, kwa timu zilizobaki hakuna ya kuisumbua Madrid
 
Kombe halina mwenyewe!,yeyote kati yao anastahili kuwa bingwa..
 
Hilo liko wazi,Liverpool na Roma wameisaidia Madrid kuifanya UCL kuwa nyepesi
Liverpool usiwachukulie poa kwa kuangalia trend yao ya miaka ya hivi karibuni. Usidhani kumtandika City 5-1 ni rahisi kihivyo. Kama Totenham alimtesa Madrid, why not Liverpool hii ya Mo Salah, Firmino na lile jitu la Senegal? Klop pia ni Tactician mzuri. Wakiingia finali Liverpool na Madrid, anything could happen
 
Toka awali naliamini hilo kwa sababu Moja,, Zidane anatakiwa kuendelea kua kocha wa Madrid. Kuondolewa kwa zmadrid uefa ,nakuikosa laliga,kungemwondosha zidane .

Kwangu mimi muumin wa Conspiracy theories ....naona kabisa Madrid wanabeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…