Naiona Real Madrid ikibeba Uefa Champions League 2018

Kua nyepesi eeeh,Liverpool ndie anachukua hili kombe hakuna cha madrid wala nini.
Madrid wanaujuz ni balaa,afu zidane anajua namna ya kuzkamata timu,waache kabsa Madrid mbele ya kombe hawanaga mzaa,sasa Liverpool anafungwa na man u kwa Madrid atapgwa kama mbwa
 
Tambueni hamna aliyeingia kwa kubahatisha hapo. Hadi mda huu waliofudhu ni Liver na Roma tu. Hao wengine tusubiri usiku ndio tutajua. Madrid wepesi sana, wanatembelea nyota ya CR7, tena Uongozi wa Madrid wajitahidi sana kutafuta mrithi wa CR7 jamaa yule akishikwa au akiumwa basi timu yote inapotea. Wenzetu sio kama Simba na Yanga, mtashangaa leo Juve wanacheza mpira tofauti na mechi ya kwanza. Leo juve wanahidi wawape sana presha madrid sababu mabeki wa kati wa madrid leo naona kama Chujio vile.
 
Wapiga ramli chonganishi naona wengi wamehamia Liverpool ss, hasa hawa ma barca ma barca, OK haina mbaya maana lazima muwe na timu ya kuipigia upatu, ila hakika nawaambieni, Madrid anaweka historia nyingine UEFA[emoji471] [emoji471] [emoji471]
 
Hapo kwa Roma sawa ila liver ndo mbabe kuliko huyo mancity

liverpool atabeba ubingwa marefa wakiamua kumpitisha kinguvu kama jana alivyopitishwa .. ila sio kwa fair play hatoboi
 
Mpaka unanipa mzuka Wa kwenda kuitazama,ila mi naamin Madrid alshamalza kaz sku nying
 
Wenyewe walienda kucheza na mesi ila Roma walienda kucheza na Kristo Yesu
 
Maisha yote sahau kuhusu hili jambo.
 
Madrid wanaujuz ni balaa,afu zidane anajua namna ya kuzkamata timu,waache kabsa Madrid mbele ya kombe hawanaga mzaa,sasa Liverpool anafungwa na man u kwa Madrid atapgwa kama mbwa
Nafikiri mngeshinda mechi na juve ya Leo.ndo mngeanza hayo maneno yenu.
Nani alijua barca atakula 3-0?
Moira hauna mwenyewe sheikh.
 
...labda majeruhi tu ndiyo yawazuie lakini usisahau pia Mkuu mpira hudunda. Hakuna aliyetegemea BARCA na MANC waiage UEFA jana.

 
wenzio wanasali kwa miungu yao usiku na mchana wasikutane na "juggernaut" Liverpool.
 
Mpaka unanipa mzuka Wa kwenda kuitazama,ila mi naamin Madrid alshamalza kaz sku nying
Katazame mechi mkuu ujionee upako wa Pjanic dimbani leo. Madrid ukimtoa CR7 wakawaida sana. Ww tazama mechi zao CR7 asipocheza lazma magoli yapatikane kwa tochi. Kiufupi hadi mda huu madrid wamedata sababu beki zao za kati hazieleweki. Ramos hayupo, Nacho majeruhi, Vallejo hana uzoefu, mda huu zidane anapiga ramli amuanzishe Casemiro beki wa kati acheze na Varanne. put odds on Juventus today, Alegri inabidi awe mjanja tu. 4-3-3 itamfaa ila winga moja ampe Cuadrado nyingine ampe Douglas Costa alafu pipita acheze juu. Mabeki ilibidi apange Chielini, Rugani,Benatia, Sandro yule dogo de sciglio asianze leo.
 
Unaubeza ukuta wa real kweli... hao jamaa wametoka kwa PSG ya Neyma+DI MARIA+CAVANI+MBAPE.. had leo wapo na ndio wanaofanya miujiza toka mwaka juzi ww unawachukulia poa hv
 
Unaubeza ukuta wa real kweli... hao jamaa wametoka kwa PSG ya Neyma+DI MARIA+CAVANI+MBAPE.. had leo wapo na ndio wanaofanya miujiza toka mwaka juzi ww unawachukulia poa hv
Mbape anayemshangaa CR7 kama vile Mtanzania kamuona Superstar for the first time. Neymar anayeleta utoto kama mwenzie dyabala wakati mechi ipo serious. Pengo la Sergio Ramos leo ni kubwa sana. Mbaya zaidi Nacho nae Mgonjwa. Madrid beki zao za pembeni zipo poa kabisa. Sina shida na Marcelo wala Carvajal, shida ipo 4 na 5 leo. Lazma watoe boko au Penalty Kama presure itakua kubwa. Hadi Mzee baba Zidane anawaza ampange Casemiro si mchezo.
 
Wamebahatisha tu mzee
 
Casemiro huyo jamaa ni mchezaji wa sayari nyingine aise
 
Wamebahatisha tu mzee
Toa credit timu ikicheza mpira. Ronaldo kafunga goli zuri wiki iliyopita hadi mashabiki wa juve wamempigia makofi. Roma kaonesha kiwango kikubwa na kizuri mechi zote mbili alipocheza na Barcelona. Ukisema kabahatisha unakosea. Au umemka tu asubuhi umekuta matokeo Livescore badala ya kuangalia mechi live.
 
Ukimtoa Barcelona kwenye UEFA ukashindwa kuchukua kombe ni Uzembe.

Sijui kwanini Liverpool mara nyingi wanaishia nusu fainali!

Mwaka huu wanaweza kuinua mashabiki wa Uingereza.

Ngoja tusubirie mechi za leo.
 
Ukimtoa Barcelona kwenye UEFA ukashindwa kuchukua kombe ni Uzembe.

Sijui kwanini Liverpool mara nyingi wanaishia nusu fainali!

Mwaka huu wanaweza kuinua mashabiki wa Uingereza.

Ngoja tusubirie mechi za leo.
Liverpool wako vizuri na wako determined sana na UCL shida kubwa kwao itakuwa ni kumzuia either Bayern ama hata Madrid..

Ukiangalia vyema Man city waliingia na pressure kubwa sana na matumain yalikuwa juu mno ya angalau kufika nusu. Mpaka pale Liverpool walikuwa wametulia. Madrid & Bayern wakongwe wa mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…