Naiona sana namba 11:11 kila wakati inajirudia (Angel Numbers)

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
440
Reaction score
1,086
Natumai mu wazima wa afya,

Twende moja kwa moja kwenye maada kuu, kama watu wa kiroho wanavyotafsiri alama hii 11:11 , kuhusu alama hiyo kwa upande wangu kila siku naiona kwenye mizunguko ya maisha yangu, na tafsiri yake ni kuwa baada ya kuiona hiyo namba mara kwa mara hivi karibuni utarajie kupokea mambo mazuri.

Lakini kwa upande wangu tangu nianze kuiona namba hiyo ni muda sasa natarajia kupata nafuu ya maisha lakini kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya tu na maisha yanazidi kuwa magumu, mfano siku ya leo hii namba 11:11 nimeiona mara 3 ikijirudia sehemu mbalimbali lakini mambo yangu yanazidi kuwa magumu.

Je, naweza nikawa nakosea mahala ndo ikawa sababu ya hii namba kutofanya kazi?

(11:11 angel numbers)
 
Mimi niliwahi kupitia hicho kipindi mwaka jana. Nilikuwa stressed and jobless. Nilijipa matumaini ya kupata makbubwa lakini haikuwa hivyo.
Mwisho nilijua sababu, ni vile nilikuwa nakaa sana less macho kwenye simu au saa kila muda.
 
Kwanini nisione namba nyingine ikijirudia na kwanini iwe hii tuu 11:11, na magumu ndo yanazidi kunizonga badara nipate ahueni 🥹
 
Nadhani hapo huwa kuna maana juu ya hizi namba. Mi huwa zinatkea huwa nikiwa stressed au moodless. Jaribu kufuatilia kiongozi
 
Zikitokea hizo namba screenshot then omba chochote unacho kihitaji Sana

Kazi
Afya
Biashara

N.k

Zitumie katika 'manifestation'

Ulimwengu /universal huwa unafanya Kazi Kwa kile ulichokipa nguvu zaidi ndo hutokea.

Mfano ukiona namba 11:11 Mara Kwa Mara jaribu kuanza kumamifest unachokihitaji ili kitokee Kwa Wepesi

This is how you can use ENJO NAMBA.

Mikono kuwasha

Jicho kucheza

Kutoka udenda ghafla hii inaashiria utakula vizuri.

Ili u-match na universe endelea kupambana huku na kule ili manifestation yako itokee in reality.
 
Akiscreenshot haifanyi kazi. Na ili ifanye kazi anahitaji kujicleanse.. 😅
 
Back
Top Bottom