Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kolo lazima unakuwa mbumbumbu sijui kwanini..,yaani mechi ya 3 mfululuzo unashonwa alafu unaleta ngojera hapa.Nikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote naweza kusema Simba kuotewa na kufungwa na timu mbovu kama Yanga haimaanishi kila timu mbovu itaweza kuifunga simba
Chambuzi la mtaani kwenu sioNikiongea kiuchambuzi bila upendeleo wowote naweza kusema Simba kuotewa na kufungwa na timu mbovu kama Yanga haimaanishi kila timu mbovu itaweza kuifunga simba
Endelea kuona hivyo hivyoKama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Kwanini unavuta bangi asubuhi!?Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Upo sahihi na ile mechi dhidi ya Azam kipa aliyepangwa hayupo sharp na kachangia kikubwa kufungwa kwa Coastal sijui Matampi yuko wapi.Coastal hawawezi defence Yao imekuwa unga sana na kiungo ya kina Gwalala na yule dogo nyepesi sana ku battle na kikosi Cha matengenezo Cha wafuasi wa Ahmed Ally
Nyie endeleeni kucheza kamari tu,IMANI ya JOKER hiyo!Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Kwa nini usimuuwe wewe ili uje ujishukuru?Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Kwa hiyo Azam atatengeneza pia nafasi dhidi ya Yanga, au huo ulinganifu unaoufanya ni dhidi ya Simba tu?Simba ni tofauti na Azam, Azam wanatengeneza nafasi, Sasa Simba asijekuona coast kafungwa Tano akajua nayeye atafunga Tano wakati timu haitengenezi nafasi,
Akili hunaKama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi.
Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
Kama unadhani coastal ya msimu huu ni nyepesi basi subiri kesho nakuhakikishia utabaki mdomo wazi.Coastal hawawezi defence Yao imekuwa unga sana na kiungo ya kina Gwalala na yule dogo nyepesi sana ku battle na kikosi Cha matengenezo Cha wafuasi wa Ahmed Ally