Naiona Wizara ya Nishati ikifanya vibaya sana chini ya January Makamba

habari wakuu,
nadhani mood wata ufuta huu uzi,

ILA NAULIZA KWAASLAHI YA NCHI HII KWELI HILI BWAWA MUHIMU KWA TAIFA LITA ENDELEZWA?

na januari makamba,
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wasipolijenga huo msalaba watalala nao kwa milele. Hawana tena choice ila kumalizia kazi
 
Kalemani alishaanza kufanya vibaya. Umeme ulikuwa unakatika ovyo kutwa mara 5.
 
Huyu dogo licha ya kuwa mtata hafai hata kuaminiwa kusimamia choo achia mbali wizara. Nadhani nyuma yake kuna Makamba baba na Njaa Kaya Kiwete
 
Dah! Kalemani japokuwa nilikuwa simpendi lkn alikuwa anatandika kazi balaa!
 
Sasa kabisa umeDeclare kwamba "hufurahii au huuzuniki kwa mabadiliko yoyote"
Itoshe tu kusema wewe sio mzalendo.
Huna mapenzi na Nchi yako.

Mengine yako sijayasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…