Naiona Yanga ikifuzu makundi

Naiona Yanga ikifuzu makundi

Yanga sio level za kimataifa muwe waelewa, hata ukimuangalia Nabi tangia amejiunga na Yanga mechi za kimataifa sijamuona akifanya vizuri, wale Zalan f.c sio timu ya mpira ni timu ya kuwavutia vijana waache kushika silaha huko South Sudan wajieunge kwenye michezo.
 
Yanga sio level za kimataifa muwe waelewa,hata ukimuangalia Nabi tangia amejiunga na Yanga mechi za kimataifa sijamuona akifanya vizuri,wale Zalan f.c sio timu ya mpira ni timu ya kuwavutia vijana waache kushika silaha huko South Sudan wajieunge kwenye michezo.
Mimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.
 
Una U special Gani humu JF kwamba ukijitoa kunakua na Pengo, au unadhani kua hii ni Familia yako kua ujitoa itashinda Njaa
He! Kuna Mtu kakwambia yeye ni special? Hivi shule gani inafundisha ujinga kama wako na Mimi nikasomee?
 
Yanga lazima wafuzu.

Wasipofuzu mgogoro mkubwa sana utaibuka.. kwa navyojua nguvu ya wanachama na mashabiki wa yanga sitashangaa hata aziz ki akaambiwa asepe

Engineer hersi na wachezaji wa yanga + benchi la ufundi hawawezi kubali hilo litokee hivyo ni lazima wafuzu kwa mbinu yoyote hata kununua mechi kwa hela nyingi sana
 
Hakika utopolo mwendo wameumaliza

Yaani wamnunue ibenge? Utopolo bhana
 
Yanga lazima wafuzu.

Wasipofuzu mgogoro mkubwa sana utaibuka.. kwa navyojua nguvu ya wanachama na mashabiki wa yanga sitashangaa hata aziz ki akaambiwa asepe

Engineer hersi na wachezaji wa yanga + benchi la ufundi hawawezi kubali hilo litokee hivyo ni lazima wafuzu kwa mbinu yoyote hata kununua mechi kwa hela nyingi sana
Kwa iyo yanga wana ela ya kununua game kuliko al hilal

Unajua mmiliki wa pyramids ndio mmiliki wa al hilal
 
Hisia za wengi ni kuwa safari ya Yanga kufuzu makundi imeishia kwa Mchina la hasha! Naiona Yanga ikishinda Goli 3- 1 au 3-2 ugenini kwa wazee wa kubeti waweke GG, over 2.5 au Away win Hongera Yanga kwa kuingia makundi.
Labda makundi ya nzige na viwavi jeshi
 
Simba wakishinda ni fujo mtindo mzima, wakifungwa utafikiri wamefiwa.
 
Wanasema wachezaji wao wa kimataufa wakiwa na timu zao za Taifa wanaupiga mwingi lakn jangwani wanafanya kusudi 🤣🤣🤣🤣🤣

You can not eat two cakes and have ALL
 
Back
Top Bottom