Mimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.Yanga sio level za kimataifa muwe waelewa,hata ukimuangalia Nabi tangia amejiunga na Yanga mechi za kimataifa sijamuona akifanya vizuri,wale Zalan f.c sio timu ya mpira ni timu ya kuwavutia vijana waache kushika silaha huko South Sudan wajieunge kwenye michezo.
Una U special Gani humu JF kwamba ukijitoa kunakua na Pengo, au unadhani kua hii ni Familia yako kua ujitoa itashinda NjaaMimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.
He! Kuna Mtu kakwambia yeye ni special? Hivi shule gani inafundisha ujinga kama wako na Mimi nikasomee?Una U special Gani humu JF kwamba ukijitoa kunakua na Pengo, au unadhani kua hii ni Familia yako kua ujitoa itashinda Njaa
Jitafakari kabla ya kwenda kujifunza ujinga?He! Kuna Mtu kakwambia yeye ni special? Hivi shule gani inafundisha ujinga kama wako na Mimi nikasomee?
Hizo mbili moja kafungwa liniJitafakari kabla ya kwenda kujifunza ujinga?
Utopolo keshapigwa 2-1 unataka elimu gani
View attachment 2382541
Hadi wewe umeweka ahadi. Aisee mbona nimeshtuka sana na hili. Ngoja tuone pengine watu wana maono yao humu JFMimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.
Yanga lazima wafuzu.
Wasipofuzu mgogoro mkubwa sana utaibuka.. kwa navyojua nguvu ya wanachama na mashabiki wa yanga sitashangaa hata aziz ki akaambiwa asepe
Engineer hersi na wachezaji wa yanga + benchi la ufundi hawawezi kubali hilo litokee hivyo ni lazima wafuzu kwa mbinu yoyote hata kununua mechi kwa hela nyingi sana
Yaani wamnunue ibenge? Utopolo bhanaYanga lazima wafuzu.
Wasipofuzu mgogoro mkubwa sana utaibuka.. kwa navyojua nguvu ya wanachama na mashabiki wa yanga sitashangaa hata aziz ki akaambiwa asepe
Engineer hersi na wachezaji wa yanga + benchi la ufundi hawawezi kubali hilo litokee hivyo ni lazima wafuzu kwa mbinu yoyote hata kununua mechi kwa hela nyingi sana
@Moderator tutaomba msaada wa ban ya mwezi mzima kwa huyu ndugu yetu.Ameomba mwenyeweMimi siyo shabiki wa Yanga, lakini Yanga asipofuzu najitoa JF mwezi mzima wa octoba.
Kwa iyo yanga wana ela ya kununua game kuliko al hilalYanga lazima wafuzu.
Wasipofuzu mgogoro mkubwa sana utaibuka.. kwa navyojua nguvu ya wanachama na mashabiki wa yanga sitashangaa hata aziz ki akaambiwa asepe
Engineer hersi na wachezaji wa yanga + benchi la ufundi hawawezi kubali hilo litokee hivyo ni lazima wafuzu kwa mbinu yoyote hata kununua mechi kwa hela nyingi sana
Labda makundi ya nzige na viwavi jeshiHisia za wengi ni kuwa safari ya Yanga kufuzu makundi imeishia kwa Mchina la hasha! Naiona Yanga ikishinda Goli 3- 1 au 3-2 ugenini kwa wazee wa kubeti waweke GG, over 2.5 au Away win Hongera Yanga kwa kuingia makundi.