Naipataje tamthilia ya SIRI YA MTUNGI

Naipataje tamthilia ya SIRI YA MTUNGI

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
nimeitafuta sana lakini napataje hii series ya siri ya mtungi kama unafahamu website yeyote naweza pakua nifahamishe tafadhali

Monday[emoji110]
 
TUMIA TUBEMATE INGIA YOUBUTE IPAKUE IMEJAA TELE
 
Yeah.......mi mwenyewe nilikuwa naitafuta yule mwamba "mwenye mandevu" siku hizi aliua sana!
 
Hizi unadownload vipi?, Maana tubemate ukidownload inabaki kwenye tubemate nahuwezi kuicheza bila data
Fungua hiyo video YouTube, tazama options za chini kisha bonyeza share.
Then, copy link.
[emoji116]
Fungua browser ya kawaida.
Andika neno SaveFrom net
Ikifunguka, paste hiyo link na download.

Kama hiyo inasumbua, andika
Youtube to mp4
Paste link
Download
[emoji117]Enjoy the movie
 
Hizi unadownload vipi?, Maana tubemate ukidownload inabaki kwenye tubemate nahuwezi kuicheza bila data
Download Snaptube APK kutoka google, una 'search' Snaptube then hi 'install'. Ila cha kwanza itabidi uruhusu Installation kutoka kwenye browser unayotumia.


Hii app video ukii 'download' inabaki kwenye simu na unaweza kuirusha kwenda kwenye simu nyingine, haiitaji data kuiangalia na haina upuuzi wakukulazimisha uwe na player yake ili kuangalia hiyo video
 
Back
Top Bottom