Naipenda CCM imejaa viongozi wazalendo kuanzia Mwenyekiti wa Chama Taifa Samia Suluhu Hassan

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
 
Kapunguze maki ukalale.
 
Nimecheka,nimecheka hadi basi. Watanzania uhuni mtupu.Legacy ya kudumu chama kikongwe.
 
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
Huu ni uvivu wa kufanya kazi tu ndiyo unakusumbua unataka utupiwe makombo.
 
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
 
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
Ww utakuwa ni mzee au kijana zombie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…