AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Kiukwel japo nimekuwa nikisoma comments za wadau wa humu JF ambazo zimebase kuiponda na kuipaka matope UDOM lakin mm mdogo wenu ninaipenda sana UDOM na nina ndoto siku 1 nifike hapo kwa kusoma, nimemalza kidato cha 4 mwaka huu lakin matokeo si mazuri ya kuridhisha kusoma A,Level, Je ninaweza kusoma hata Diploma na mwisho wa siku nikakubaliwa kujiunga na UDOM kwa ngazi ya degree? Maana nimesikia kuwa ukisoma Diploma huwez kujiunga na chuo mpaka uwe umepitia A, Level.
Mungu na Allah awabariki.
Mungu na Allah awabariki.