AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Kiukwel japo nimekuwa nikisoma comments za wadau wa humu JF ambazo zimebase kuiponda na kuipaka matope UDOM lakin mm mdogo wenu ninaipenda sana UDOM na nina ndoto siku 1 nifike hapo kwa kusoma, nimemalza kidato cha 4 mwaka huu lakin matokeo si mazuri ya kuridhisha kusoma A,Level, Je ninaweza kusoma hata Diploma na mwisho wa siku nikakubaliwa kujiunga na UDOM kwa ngazi ya degree? Maana nimesikia kuwa ukisoma Diploma huwez kujiunga na chuo mpaka uwe umepitia A, Level.
Mungu na Allah awabariki.
vyuo 100 bora Africa
UDOM google searching.......
server reply.. not found
UDSM google searching.....
server reply ..cha 3
vyuo 100 bora Africa
UDOM google searching.......
server reply.. not found
UDSM google searching.....
server reply ..cha 3
hii inamsaidia kijana anayetaka ushauri wa namna ya kufika kusoma University of Dodoma? ameuliza rank ya chuo?
Hapana kaka. Ulichosikia si kweli.
Sio lazima upitie A-Level ndio uingie chuo kikuu. Ata ukisoma diploma chuo kikuu unafika brou.
Wengi wanatoka Diploma wanasoma Vyuoni, tena taaluma tofauti kabisa na zile walizosoma Diploma.
We kaza tu, nothing is impossible.
Make sure ndoto zako zinakuja kua true, achana na hao NdalaNdefu wanaokukatisha tamaa.
Karibu UDOM