Naipenda simba

Naipenda pia lakini mla jana kala nini? Tusijifariji na rekodi zilizopita, tujitathmini tumekosea wapi na tufanyeje kuweza kurudi kileleni na hata kuvunja record za nyuma
 
Friends of Simba imegeuka kuwa Enemies of Simba
 
Simba kazeeka hadi anashikwa masharubu yake na Nyumbu anayetabasamu!
 
We jivunie tu hisoria tu ambayo hata mjukuu wako uliyemzaa haijui
 
......mabingwa wa Ligi ya Historia (History Premier League - HPL Champions), kwa VPL mtaisoma no.
 
Mwandishi mbona hujaweka tukio muhimu la kufika NUSU FAINALI YA KLABU BINGWA AFRIKA mwaka 1974?Naomba uedit uweke hilo tukio hapo
 
Simba imejaa wapigaji wa mijini, imejaa aina ya watu ambao kwenye siasa ndio wanaopiga madili makubwa kama vile ESCROW na EPA. Ni vigumu kupiga hatua kwa sababu kila mtu anataka awe na sauti ndani ya klabu.

Yanga wamempa uhuru Manji na anafanya kazi kisomi, haingilii majukumu asiyoyafahamu, kocha Hans Pluijm kapewa uhuru na anafanya kazi ya maana. Naona kama andiko hili ni la kujifariji pekee, halina changamoto kwa wanasimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…