NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
serikali sikivu , imeweka kwenye orodha ya waliopata mkopo ,ingawa kozi niliyoiomba ni Non priority , ambayo ni Bcom in HR UDSM . 4that thanks .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cha usikivu, ni haki yako, na pia ni mkopo!
...........................................)
sorry kama nimekukwaza kuipongeza serikali yangu ila hata Bilbe inasema asiyekuwa na shukrani kwa kidodo alichopewa hata kingi akipewa atakuwa anaishia kwenye lawama .4myside nasema serikali imeisha nitendea haki kwani kati ya waliopata nami nimeonwa . Na kwa wale ambao hawajapata , poleni lakini Serikali sikivu najua tu itawawezesha kwa namna moja ama nyingine. mungu ibariki Tanzania , Kibariki chuo cvhangu cha UDSM na uongozi wake na pia TCU na loan board. Have a nice comment in any kindly idea