Nairobi: BBC kufungua ofisi kubwa kabisa nje ya UK

Lini k24 au citizen mtafungua ofisi London?
 
Huyu Ndugu yenu Larry amewadanganya, the biggest BBC office out of UK is in USA, BBC AMERICA infact its independence in terms of generating its own income.

Your last point I take it as a joke, Kenya closes down media houses every time someone feel threaten. kweli uwongo?
 
hahahaha...BBC themselves confirmed it in their official twitter handle...pole
BBC launches largest bureau outside UK
 
N Nice one
 
Kumbe hadi Mwahiga Mwaura Na Zawadi Mudibo walichukuliwa na BBC.
Enyewe Kenyan journalists wako another level.
Pia Peter Mwangangi Na Hudheifa Aden
Umeona eeh, wanahabari wa Kenya hawana mzaha. Yaani BBC wamewanyakua kama wote bana.
 
hahahaha...BBC themselves confirmed it in their official twitter handle...pole
BBC launches largest bureau outside UK

Is just a business wording iliyotumika hapa, BBC American is an independent organization from BBC UK. 51% of BBC revenue comes from BBC America alone, you can't be seen in 71 million household ukasema thats a small organization. Kenya has 8.7 million household. Remember, hapo wamesema Journalist in training, sio staffs ambayo worldwide bbc wamefika over 35,000.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€pengine nikuulize uelewa wako wa maneno haya "largest bureau outside UK" ni upi?
 
Hapa kazi tu!. Media is thriving in Kenya. Meanwhile pombe Magu kazi yake ni kutoa onyo kwa vyombo vya habari daily
 
BBC lazima wakwende kufungua tawi kenya ili washuhudie jinsi wanaume wa kikenywa wanavyopigwa na wake zao.. 😁😁
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€pengine nikuulize uelewa wako wa maneno haya "largest bureau outside UK" ni upi?

Ungekaa chini ukajifunza BBC structure labda ungenielewa, na kwanini hujaisikia BBC-America inaohelewa japo nusu ya mapato yao ya kibiashara yanatoka huko? 71 million household man, hufanyi hiyo kazi na two staffs.
 
wewe mpingamizi tu bure...kwani ni sisi tunasema au ni wao?πŸ˜€πŸ˜€Pili, nobody is talking about mapato ya kibiashara, au household so sijui nani aliyekuambia ni vigezo hivyo ndio wameangazia mpaka wakasema ndio largest nje ya UK...wanaweza kuwa tu wanamaanisha physical office yenyewe ndio kubwa kabisa nje ya UK...sijui kiingereza ndio kigumu auπŸ™„πŸ™„
 
Ungekaa chini ukajifunza BBC structure labda ungenielewa, na kwanini hujaisikia BBC-America inaohelewa japo nusu ya mapato yao ya kibiashara yanatoka huko? 71 million household man, hufanyi hiyo kazi na two staffs.
discussing anything with Bongo people is brain draining, now we are arguing about the meaning of "biggest".. halafu they have a way of making themselves look smart by knowing nothing about the topic of discussion. instead of them giving their set of facts they result to, "mjinga wewe", jielimishe, soma... fkthemall
 
Ungekaa chini ukajifunza BBC structure labda ungenielewa, na kwanini hujaisikia BBC-America inaohelewa japo nusu ya mapato yao ya kibiashara yanatoka huko? 71 million household man, hufanyi hiyo kazi na two staffs.
haya basi, tolea povu pale pembeni.......
 
very true...yaani hawa watu IQ yao nina kasoro nayo...i think they must be the dumbest ppl in africa...yaani ni ngumu tu kuelewa maneno haya matatu largest outside UK
 
Mimi mnanichosha kitu kimoja, a simple homework haya yote mgeyajua na mgejua kama wazungu wanatumia lugha ya kupendezesha macho kuliko uhalisia wenyewe. Bila mimi kukuonyesha kama chakula cha BBC inatokawapi, mngebaki hapo hapo mnajidanganya eti big office space, mara largest barue. Few years ago, BBC walienda kufungua India office, na huko wakatumia lugha hiyo hiyo the largest barue outside UK.
 
sawa basπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€smh tanzaniansπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…