Mimi mnanichosha kitu kimoja, a simple homework haya yote mgeyajua na mgejua kama wazungu wanatumia lugha ya kupendezesha macho kuliko uhalisia wenyewe. Bila mimi kukuonyesha kama chakula cha BBC inatokawapi, mngebaki hapo hapo mnajidanganya eti big office space, mara largest barue. Few years ago, BBC walienda kufungua India office, na huko wakatumia lugha hiyo hiyo the largest barue outside UK.