Nairobi breaks ground for tallest residential tower in subsaharan Africa

Nilidhani kwamba wameanza kujenga au jengo limekamilika kumbe jengo la kwenye karatasi.
Stupid kenyans.
 
Ni ujinga kama wa Dar yetu pia, kila mtu anataka skyscraper wkt Miundo mbinu hakuna!
Vp Maji ya kutumia ndani ya hilo skyscraper? Mara ya mwisho nilikuwa Nairobi kulikuwa na shida ya maji, na sababu ni kwamba kuna population explosion na hivyo Miundombinu haiwezi kuhudumia watu wote kwani ilijengwa na Muzungu!

Hapo sijagusia fire brigade ambapo ni tangu Muzungu, moto ukiwaka huko angani watazima vipi?
 
44 floors tower...another giant for Nairobi.....manze tunatesa anga wajameni
 
Ungeuliza watazima vipi kwenye jengo la floor 70 upper hill la Pinnacle,kwa huu muktadha hili jengo ni la floor 44 designed to worldbank and european standards,je Tanzania ina majengo ya standards kama hizi ?
 
Ichoboy usifikirie ujenzi wa pinacle 320 metres into African skies nibujenzi wa zizi ka ngombe la TPA hohoho

380 foundation piles hata wewe unajua ni nini ?
where is the construction sijakuomba utoe povuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kesho kuja upper hill,Africas high end financial district and richest Mile !
 
Ungeuliza watazima vipi kwenye jengo la floor 70 upper hill la Pinnacle,kwa huu muktadha hili jengo ni la floor 44 designed to worldbank and european standards,je Tanzania ina majengo ya standards kama hizi ?
iko wapi pinnacle ujenzi wake broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au bado munachimba 4 good years
 
Kesho kuja upper hill,Africas high end financial district and richest Mile !
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe bado una akili za kitumwa
 
Hohoho,keep living in denial.......
 
Wasomali muwachukie nchi wanawajengea mmamao
 
Povu lenu kwenye huu uzi,raha kwangu mie hahaha
 
Povu lenu kwenye huu uzi,raha kwangu mie hahaha
povu kwenye renders πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ speed ya dar imewaogopesha mkajua ni ile tz ya 90sπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…