Nairobi BRT and Commuter Rail .-----Tutafika tu

Sinister, kunyoa na kusuka nywele pia ndio uhondo wenyewe sasa. Hicho jina lake litakuwa ni kiwanda kipya cha kuficha mabonde kwenye vichwa. Mkasi check, camera check, smile check, 1,2,3, makofiii!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ So ata mimi nikimake smoothie ama juice, nakuwa an Industrialist πŸ€”πŸ€”
Mimi kwangu ushago nachinja Kuku, napackage alafu nauza kwa mahoteli. Hivi ningekuwa Bongo ningekuwa kama Manu Chandaria hivi? Yani award winning industrialist. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Majirani mi nawaambia tu endeleeni kuwapa pressure viongozi wenu waweke investment kubwa kwenye usafiri wa umma.

sioni sababu ya watu ku mock hizi juhudi za Mji wa Nairobi kuwa na usafiri wa kisasa kama Dar es Salaam.

Huku Tanzania tumeshauendesha huu mradi na tunajua faida na mapungufu yake na tunawakaribisha kuja kujifunza ili mjenge mradi ambao ni bora zaidi.. huu ni uwekezaji kwa ajili ya watu na ni jambo la kupongeza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…