Wewe kwa akili zako zisizo na moshi wa bange unaona ni sawa mtu asiye na hatia kuuliwa au kutiwa kilema bila sababu?
unfortunately Albert is dead, unless hujasoma habari yenyeweHuyu ni mwenzenu atakuja hukohuko church
kwasababu ndio ukweli wenyewe....Hivi mbona TZ kwenye international nyuuzi tunatokea kwa mabaya tuu?? kwa nini tunaiaibisha nchi yetu jamani?? Alikuwa Ghailani kila mahali, ikaja ishu ya rada. Bado kwenye tafiti mbalimbali tunaongoza kwa huduma mbaya za afya, elimu duni na kufa kwa vichanga na wajawazito.
Nina muda sana kusoma something positive from TZ in international medias.