Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Tatizo sio idadi ya jukwaa tatizo ni capacity ya jukwaa. Nyie mnaweza hata kuwa na jukwaa kumi na sisi tuwe na moja na stadium yetu ibebe watu wengi kuwashinda. Kwa hivyo wacha kusema eti yenu ina jukwaa mbili. That doesn't matter. Wewe leta capacity ya hio swimming pool yenu. Najua inabeba watu mia moja.Msaidie mwenzako mniambie ina uwezo wa kubeba watu wangapi hiyo stadium yenu yenye jukwaa moja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kasarani aquatic stadium inabeba 2,000 people bila kufinyana kulingana na bodi inayosimamia stadia zote hapa Kenya.
Our Facilities
Nyayo National Stadium
Category: FacilitiesNyayo National Stadium
Strategically located at the Uhuru highway, Langata and Aerodrome roads junction, this home of champions is a multipurpose sports complex consisting the Main Stadium, an Indoor Arena, a Handball court and an Aquatic Centre.
i) Main Stadium
Main Features
30,000 seater
FIFA approved standard size football pitch – home to several national and international matches
Hosts large gatherings, including concerts, national celebrations, meetings and crusades
2 VIP lounges, a boardroom
Internet enabled media centre.
Floodlights for night events
b) Aquatic Centre
Main Features:
Spectator terraces for 2000 pax
50 x 25 m Swimming pool
Open to Public all week
Trained lifeguards
c) Indoor Gymnasium
Main features
2500 capacity
Snack bars are within the gymnasium
Fully covered indoor arena and can host:
- Basketball
- Boxing
- Badminton
- Martial arts
- Social functions
- Any other indoor games
Floodlights
d) Handball and Volleyball Training Courts
Main features
Terraces for 1500 capacity
Standard Open air Court– Ideal for training
Available for both sporting and social events
Ndio hii link:
Nyie hamna aquatic stadium. Kubali yaishe.
Halafu pia nina swali. Nyie mna handball and volleyball training courts? Kama mnayo basi tupe capacity ya hio court kwa sababu yetu ni 1,500 people.
Halafu mna indoor gymnasium ambayo kunachezwa basketball, badminton? Kama mnayo tupe capacity yake. Yetu ina capacity ya 2,500. Kubali hamna yaishe. Kama mnayo weka evidence kama vile mimi nimeweka. Hii sijaitoa kwenye Wikipedia, hii imetoka direct from bodi ya serikali inayosimamia stadia zote Kenya. Mimi nimeweka evidence, wewe weka yako wacha. Usisongeze goal post.