The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Dar km Dar maamaee [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Most advanced public transport in East Africa. Nairobi commuter train is the only public transport that offer space for cyclistsView attachment 1632957View attachment 1632958View attachment 1632960
Only major league idiots like you will believe suchDawa ishaingia so mvumilie tu au nendeni mkapinge hyo data, huwa tunawaambia cc elimu imetusaidia sn na ss mtegemee maumivu zaidi cz tuko serious asikuambie mtu, taifa kubwa hili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1633509
Utaacha lini upuuzi wa kupinga bila evidence.Only major league idiots like you will believe such
Where is Algiers, Oran, Casablanca, Johannesburg etc
What you posted is lame it needs no evidenceUtaacha lini upuuzi wa kupinga bila evidence.
Linaenda wapi? Huoni haya kabisa kuongopa hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Au kazi yake ni kumbeba Uhuru kwenda kwenye uzinduzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cheki hii ng'ombelicious. Kwa hivyo unadhani kwa sababu tunatumia rail yenye mzungu alijenga kwa hivyo hii haiwezi kuwa commuter rail? Kwani commuter rail ni nini kulingana na wewe?Ukinionesha ni lini mlijenga commuter rail naondoka jf asubuhi hii, mana the way u r talking it's like u have ever built it even a 1metre long[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tuonyeshe evidence kuwa BRT yenu ina space ya cyclists kupark baiskeli yao.Mambo mengine ni a aibu hata ku changia wallahi, wakenya ndo mmefika hapa hebu njoeni muone mkenya mwenzenu hukuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ulikuwa unataka hio baiskeli iwe imepakwa avocado kwenye tyres?Af baiskeli yenyewe ina vumbi kwenye tires ile mby, I guess you are the one of slum dwellers [emoji3][emoji3][emoji3]
Eti nyie mumesoma kutushinda? Umevuta bangi?Dawa ishaingia so mvumilie tu au nendeni mkapinge hyo data, huwa tunawaambia cc elimu imetusaidia sn na ss mtegemee maumivu zaidi cz tuko serious asikuambie mtu, taifa kubwa hili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1633509
Uwe unaelewa kabla ya ku quote mtu dunderhead.Cheki hii ng'ombelicious. Kwa hivyo unadhani kwa sababu tunatumia rail yenye mzungu alijenga kwa hivyo hii haiwezi kuwa commuter rail? Kwani commuter rail ni nini kulingana na wewe?
Ona unavyouliza maswali ya kiwaki, ss baiskeli na brt wapi na wapi, unaongea pumba ukipewa ukweli huwa unakimbilia kusema utaondoka jamii forum.Tuonyeshe evidence kuwa BRT yenu ina space ya cyclists kupark baiskeli yao.
Naona umekataa kujibu swaliOna unavyouliza maswali ya kiwaki, ss baiskeli na brt wapi na wapi, unaongea pumba ukipewa ukweli huwa unakimbilia kusema utaondoka jamii forum.
The real most advanced public transport in East and Central of Africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]The most advanced public transport in East AfricaView attachment 1633824