Mkenya wa kawaida anapata pesa nyingi kushinda Mtanzania wa kawaida kulingana na statistics za World bank (GNI per capita). Sasa sijui unacheka nini. Hii hii World bank ndio ilisema kuwa Kenya ina electrification rate ya 75% na Tanzania 35%. Halafu wewe na
ichoboy01 mkapinga data ya World bank sana. Lakini sasa hivi unataka kuikumbatia World bank kwa sababu inasema kuwa Tanzania ina a higher urbanisation rate than Kenya? Unaichukia World bank inaposema kuwa Kenya ina higher electrification rate lakini unaipenda World bank inaposema kuwa Kenya ina lower urbanisation rate? Uko very confused, hypocritical and unserious.
joto la jiwe mbona nyinyi Watanzania huwa hampo serious? Mbona mlikuwa mnapinga World bank iliposema kuwa Kenya ina higher electrification rate than Tanzania halafu saa hii mnafurahia sana wakati World bank inaposema kuwa Tanzania ina higher urbanisation rate? Mtawacha huu unafiki lini? Kuweni serious wakati mwingine. Sio kila wakati ni wakati wa mchezo. Hamuwezi kuchagua data gani ya World bank mnapenda na gani hampendi. Either mkubali data zote za World bank au mzikatae zote.