Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Prove your point with evidence venye nimefanya kijana. You are wasting my time.

Kwani wewe umeweka evidence gani hapa? Mimi nimekwambia kila mkoa Tanzania unajenga soko na stand ya kisasa, sasa unataka niorodheshe mikoa yote hapa? Wewe fatilia kila mkoa uko na hizo project mbili. Hao WB wamezungumzia Dodoma tu, na hiyo Dodoma yenyewe ni kwamba wamechangia tu kiasi kwenye huo ujenzi. Link umeleta mwenyewe hapa au hujaisoma vizuri?

Wewe ndio ulete ushahidi kama hayo masoko mengine 30+ kama kun any loan au funds from outside.
 
Kunatofauti ya kusimama na kubanana..
Yano hapo huoni km wabongo mnanukishana vikwapa, tena sio kw hilo joto la dar..
Yani mtu unabanwa mpka hata ukipigiwa simu hujui upokee au uachane nayo
 
I repeat and I will repeat again, Tanzania has no money to do her projects. Most of the projects in Tanzania are grants and donations.
 
Look at this fool, kama umefungua hiyo link basi tuambie inasema nini. You wanted evidence nikakupea sasa unaanza kubweka kama malaya.
We demu utakuwa kwenye heat period nadhani, onesha sehemu imeandikwa grant for Kisutu modern market construction, link yako hyo apo haya nioneshe sehemu imeandikwa Kisutu hapo[emoji116][emoji116]
 
Umeona ulivyomjinga ss unafanya hv ili iweje, ili watu wasiopenda kufungua link wakuone upo deep au? Wacha ujinga weka Evidence hapa to support ur claim.
Umemkamata huyo mla miraa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]

Link aliyokupa imeandikwa haya maelezo,

Sweden has pledged to increase trade and investment while commending the government over good use of donor funds in executing various projects.

Swedish Ambassador to Tanzania, Katarina Rangnitt said at the end of a Swedish high level delegation to Tanzania that Sweden is impressed with government efforts to cut spending and good use of donor funds towards the direction of sustainable development.

...
Anacopy ovyo bila kufungua link.
 
I repeat and I will repeat again, Tanzania has no money to do her projects. Most of the projects in Tanzania are grants and donations.

Kama huo ndio msimamo wako siwezi kukupinga mzeiya, ndio kichwa chako kimeamua kujiaminisha hivyo. Ila unapoleta msimamo wako katika jamii lazima uwe na ushahidi wa hicho unachokiamini. Tanzania ni nchi yenye vyanzo vingi sana vya mapato kuliko kunyaland hivyo hilo lazima ujue, pia kuna rasilimali nyingi sana hivyo kujenga hayo masoko sio kitu kikubwa sana, ni pesa ya kawaida tu hiyo boss.

Narudia tena, weka ushahidi kwamba miradi ya masoko ya bidhaa, masoko ya madini na stand za mabasi kama zimejengwa kwa mkopo au msaada kutoka nje ya nchi.
 
Naona umetoroka kwa hile thread ingine. Anyway salimia babako
 
Katika Wakenya ambao hawanisumbui kabisa na namnyima raha humu basi huyu dada Teargass[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…