Nairobi dry land depot not meant for Uganda

The Cheapest SGR will win the business for Uganda. Highly unlikely for an expensive diesel powered, high maintenance railway with huge dollar loans repayment to beat an inexpensive faster electric train with very low maitenace costs and zero loans
na bandar ya mwanza na portbell ya uganda itafanya kua cheap zaidi na mm nakwambia hilo deni will take kenya 50yrs to pay itπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani deni limejaa ufisadi ndani
 
Okay mimi si Engineer, i am an economist
ok mr economist so tuambie hilo deni la mchina litawachukua miaka mingap ikiwa kipande cha kutoka nai to msa cost yake ni 4b usd without interestπŸ˜€πŸ˜€
na je SGR aliowajengea mchina ndio mulikua munaisubiri kwa hamu???
 
Sijaona hio loan agreement lakini kwa kawaida, miradi mikubwa kama hii huchukua zaidi ya miaka ishirini kulipa.
 
Sijaona hio loan agreement lakini kwa kawaida, miradi mikubwa kama hii huchukua zaidi ya miaka ishirini kulipa.
sio hujaona ndio ilivo loan ya first phase imechukua 4b usd without interest sasa tuambie na je ndio modern SGR mlikua munaisubiri???
 
SGR phase 2A ilianza kujengwa mwaka Jana June, inatarajiwa kukamilika mwaka huu Dec 2018 au Jan 2019.

Loan ya SGR iko na 10 year grace period, meaning loan yenyewe itaanza kulipwa 2023 baada ya SGR kufika Uganda. Tuko na 5 yrs left to start paying.

Lengo la sasa ni by end of year, SGR iwe inabeba 1, 200 TEUs per day, tukitumia hio cama base line

1200 TEUs per day = 1200 x 365 days = 427, 200 TEUs per year

If we use flat rate charge of 50, 000 (thr actual charge by KPA will be 80, 000)

This translates to revenue of 427200 x 50, 000 = 21,360, 000, 000 ksh per year or $213.6 Million USD per year .

The SGR perseger service makes $6.1 Million a year... lets assume that this pays all the workers, fuel + maintanance

So, for phase 1 alone.... paying back $4B will take 4, 000/213.6 = 18 yrs

18 years is a small time in paying a loan, there are loans that some countries have taken +40 yrs to pay. Infact the SGR loan payment period is 40 yrs, as not all the revenue generated will go to paying the loan, but if we wanted to, we could repay the loan in 10 yrs! KPA alone generates a profit of $300m a year,

And ofcorse the calculations I've done are abstract, but they should give you an idea, also those estimations are using what we expect in 2018, by 2022 we expect the SGR to be handling 2, 400 Teus per day imports+exports so when we start paying the loan we might even have some change left each time we repay.

Dont forget we also have the rail levy where we tax 1.5% of each of all goods imported through Mombasa, if for some reason the SGR doesnt generate enough revenue, we still have that option
 
very good, solid, sober, robust reply to Ichoboy. Better than I could have done myself
 
sio hujaona ndio ilivo loan ya first phase imechukua 4b usd without interest sasa tuambie na je ndio modern SGR mlikua munaisubiri???
Ichoboy, Kafrican amekujibu vizurI. Hata sitaongezea kitu.
 
Ichoboy, Kafrican amekujibu vizurI. Hata sitaongezea kitu.
alichoandika ni nonsense na swali nililokuuliza mm nilijua huwezi kulijibu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
very educated response,intelligent analysis.
 
Poor Mathematics. You are assuming that SGR will face no competition from Tz SGR which is bound to be cheaper per Teu/km. At this time, Charges are subsidized at 50% and still its difficult to get cargo.If the mombasa expressway is built, SGR will face even more competition-shooting themselves on the foot.
The other issue is Mombasa port, its hegemony as EAC gateway is being undermined. Rwanda Shifted to Dar port, Magufuli is Just a few years away from literaly giving Uganda the Tanga Port exclusively for their use. Rwanda is looking at being the inland port for eastern Congo by extending Tz' Sgr to kigali.
Relying in Railway development levy to payback sgr Loans is very stupid. It will just make potential customers for mombasa port to avoid it and seek ports that do not charge such kind of taxes
 
maneno mazuri kabisa
 
Sasa wewe unaongelea Kisumu. Sisi tutakuwa tunafikisha Mawanza ikibidi Portbell cause meli ya umoja imeshatengenezwa
Distance ya kisumu ni mbali sana. Pili kuhusu Rwanda msahau cause Kagame he is not interested with that route
 
as usual, stories of giants straight out of ur 'arse'. pliz come back when tz has an sgr.

hizi ngeli mtaziwacha lini??

tu-ki
tu-ta
 
mkuu hapo ndio kuna issue, future tense ni sawa na story za vijiweni.
 
as usual, stories of giants straight out of ur 'arse'. pliz come back when tz has an sgr.

hizi ngeli mtaziwacha lini??

tu-ki
tu-ta
Planning is the most important part of a succesful country. Rwanda is planning to extend SGR, UG is also planning to have an SGR.
Only fools dont plan, failure to plan is planning to. fail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…