Nairobi GLOBAL entre 40 floors already

By the way i hope Sonko will not interfere with this project.
He is an irrational thinker. Semi-illiterate, hiding in politics to clean dirty money., he is a cartel pia na Joho., CIA mentioned them one time on drug related activities. They should go home after this term.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is an irrational thinker. Semi-illiterate, hiding in politics to clean dirty money., he is a cartel pia na Joho., CIA mentioned them one time on drug related activities. They should go home after this term.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua huyo mtu asipochunga, anaweza fukuza investors. Hii project asiiguze tafadhali, kama ni permit hawaja apply vizuri, awasaidie kuapply, hio ndio kazi yake kama Governor, sio kusimamisha project kubwa kama hii.
 
...as i am entitled to my opinion, so are you!
 
Magorofa ya Nairobi hayanaga mvuto sijui kwa nini.
Kwakweli kwa Ujumla Nairobi haina mvuto. Hata zile barabara zao, mji unaonekana umepauka sana, na matope mengi, pengine jiografia inachangia. Lile ni eneo la Nyika, udongo ni mfinyanzi, Wangekuwa kwenye Greenish kama Mbeya pengine ingekuwa powa zaidi,
Lakini pia hawa ndugu zatu huwa hawatulizi akili kwenye miradi, wanalipua sana, wanakuwaga na haraka mno, wanajiita Aggressive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema magorofa, sio gorofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…