NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Tabia zenu za kuamini kila asemacho mzungu ndio hupelekea wanaume wa Kenya kuolewa na wanaume wa kizungu.
Hivi hapo umeona mzungu? Ujinga iko hii forum. SMH.Tabia zenu za kuamini kila asemacho mzungu ndio hupelekea wanaume wa Kenya kuolewa na wanaume wa kizungu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Achana na wamarekani, wakenya wenyewe wametusifu barabara zetu nzuri kuliko zao
Hayo tumeshinda tukiwaambia humu Ila ubishi tu.Wacha kuwapaka watanzania mafuta, wamesema Tanzania hakuna barabara kabisa apart from the main roads [emoji28]