Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Kenyatta na mabangi yake lakini anafanya kweli.
Tatizo kubwa la Kenya ni kuwa Wakenya wengi ni wezi sana.
Tuwachie mvuta bangi wetu aise, ule mzee wa mapush ups na masifa hajambo? Kwa kuwa apparently nyie sio wezi, na hizo rasilimali zote Tanzania imebarikiwa nazo, mbona huwa mnakuja wa pili baada ya kenya kwenye kila jambo, si uchumi, ukusanyaji wa kodi, infrastructure na kadhalika. Hivi media yenyu ikifagia kila jambo mvunguni na kuwadanganya nyie sio wezi ilhali nchi ishauzwa zamani ni kwa faida ya nani, mabwenyenye ama Mtanzania?
Faiza, Lol, Ustuone wezi hivyo!! Ni pesa tunatafutaKenyatta na mabangi yake lakini anafanya kweli.
Tatizo kubwa la Kenya ni kuwa Wakenya wengi ni wezi sana.
Faiza, Lol, Ustuone wezi hivyo!! Ni pesa tunatafuta
Naskia mlikuwa mwasema eti huwa ywajifukiza hiyo bangi kama ubani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817].Kenyatta na mabangi yake lakini anafanya kweli.
Tatizo kubwa la Kenya ni kuwa Wakenya wengi ni wezi sana.
Hivi mtu afe maskiniRaha ya pesa uzitafute kihalali.
Na alisema kama mtu anataka kuiba aibe lakini akishikwa asililie watu [emoji108]Kenyatta na mabangi yake lakini anafanya kweli.
Tatizo kubwa la Kenya ni kuwa Wakenya wengi ni wezi sana.
Worry not we are just perfecting this art. LolRaha ya pesa uzitafute kihalali.
Dah mi mtanzania maneno yameniuma sana kaongea ukwel sijui ametoa wapi ebu punguza maneno hayo yanachoma sanaTuwachie mvuta bangi wetu aise, ule mzee wa mapush ups na masifa hajambo? Kwa kuwa apparently nyie sio wezi, na hizo rasilimali zote Tanzania imebarikiwa nazo, mbona huwa mnakuja wa pili baada ya kenya kwenye kila jambo, si uchumi, ukusanyaji wa kodi, infrastructure na kadhalika. Hivi media yenyu ikifagia kila jambo mvunguni na kuwadanganya nyie sio wezi ilhali nchi ishauzwa zamani ni kwa faida ya nani, mabwenyenye ama Mtanzania?