Nairobi is not safe any more

[h=1]The Facts About Corruption In Kenya[/h] While a certain level of corruption goes on in every country, corruption in Kenya is a particularly large problem. The average urban Kenyan has to pay 16 bribes a month to get his regular affairs arranged. This page contains the facts
Source: Corruption In Kenya: The Facts

 

Do you remember that border row at namanga recently. And Richard Sezibera's report on how many road blocks visiting trucks has to cough money before passing into Tanzania. Wewe kaka! pia tusisahau idara ya uhamiaji Tanzania. How you have to bribe officers to get border permits..."Nevertheless, recent surveys by both public and private Tanzanian organisations indicate that corruption is perceived to be widespread and "a way of life" in Tanzania: bribes are extorted as a matter of course for even basic services such as education, health and water."
 

I've touchd by ur second paragraph.. I bet its coincidently u talkd of Mwanza..
Never in the history Mwanza has sufferd or faced hunger outbreak.. Its the well-wetherd region in E.A people are self-motivated in economic activities.. Even if the central govt ceases its support to Mwanza, stil the region can lead the life of its people.. In Mwanza u cn fnd all sort of crops, due to soil fertility and required rainfall..

Hvyo usiizungumze vibaya Mwanza!
 
Last edited by a moderator:

FJM, Msingi huo unaosema nauelewa. lakini kwa kifupi niseme hapa huyu ndugu anayeitwa hute anaota sana kusema kenya inalishwa na tanzania huku serikali ya kenya ikinunua mahindi ya ziada kutoka Tanzania. Does he know the meaning ya kulishwa kama wasomali/wakimbizi wanavolishwa. Unapokwenda dukani kununua unakua "unaomba msaada" au "unalishwa"? Huyu ndugu yafaa achangamshwe bongo!
 
FJM, kulingana na hili jinamizi la ufisadi, CCM wameweza kuonyesha mwelekeo mzuri na hasa ya kuigwa EA mashariki. Uzuri ni kwamba CCM walifanya juu chini kuchuja hao mawaziri wafisadi. Serikali ya kenya haifanyi juhudi zezote kuhakikisha ufisadi unamalizwa. Ukiangalia goldenberg/angloleasing bado ripoti hazijatoka na ukizingatia huyu Mkuu wa mahakama Willie Mutunga na katiba mpya bado hazionyeshi dalili ya kuwa ufisadi utaangamizwa.

Katika idara nyingi tunafaa reforms za hali ya juu, ingawa wabunge wako dunia yao, katika masebule wanayoyafahamu wenyewe wakipanga jinsi watakavyochezesha "political economy/status quo. Hata ukiangalia vyombo vya habari kenya, vimekuwa campaigning tools/vyombo vya kusukuma marais na wabunge watarajiwa bungeni. Hakuna media house inayonuia kutangaza habari itakayowafaa wananchi. Hakuna inayoelimisha au kuongezea maarifa. Ukitizama kama kwa mfano Citizen jioni, dakika kumi za kwanza ni habari za siasa na hili ni changamoto.

Niseme wanasiasa ndio waovu na ukiangalia wenye wamehusika katika kashfa la NHIF, ndio wanapiga domo zaidi eti wanadhulumiwa wanapotafuta urais katika kampeini. Mimi naonelea ni vigumu kuondoa ufisadi kama katika docket za NHIF na bado wamesalia ofisini wakiwa wametuhumiwa. Hakuna anayeaminika katika siasa. Hizo tuhuma za Tanzania kupeleleza rushwa kwenye uchimbaji migodi, nilisoma kwenye gazetti la 'The East African". Sijui validity ya makala hiyo.

Yaonekana watanzania wengi hawana habari kuhusu miundo msingi/pipeline ya gesi imefikia wapi. Utakuta mtu anangangana kusema eti gesi imefika manyumbani huku wewe wasema iko kwenye implementation stage ambayo ni sawa. Hii information gap FJM ndio tunatazamia kuumaliza. Nina swali katika uchimbaji mafuta, mumefikia wapi? Ili wanaotaka kupotosha watu hapa JF waweze kujielimisha. Uzembe huu ya kutotaka kujua kweli kuhusu uendeshaji wa biashara ya madini licha ya kuwa na information supa highway ni udhaifu nimekuta wanaJF wengi hapa irespective of country.

Ule mkataba wa misri muiliivunja/Mto Naili au munatumia maji ya ziwa victoria? Nimalizie na kusema ikiwa gesi itapunguza garama ya uzalishaji umeme basi hili ni jambo lenye faidi. Naitafungua sana biashara EA.
 
CCM wamefanya nini? hii ndo akili ya mkenya, anafikir anajua kinachoendelea tz kumbe ni mbunye tu kichwani mwake imejaa na kuvimbiana. kwa sentensi hiyo tu niliyobold, sihitaji kuendelea kubishana na wewe, kwasababu haujui kitu chochote kinachoendelea tz, jaribu kufuatilia vizuri mambo ya kitz utaelewa kuwa unachoongea ni sifuri kubwa ya tundu la oooooo.
 
Hii mechi bora ingechezwa Kenya vs. Uganda, Tanzania bado ni bongo lala. Ndugu zetu wa Kenya tusubirini kwanza tuliangamize jinamizi ccm ninalotuangamiza halafu ndo tutaanza kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…