Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Haina haja tubishane bure...
Tangu jpm aingie madarakani gap lilipungua ama ni the other way round
Kama wewe ni mkenya jaribu kuvuka uje Tanzania uone ni nini kinaendelea. Tulikataa kuwa na uchumi wa mapesa ya dawa za kulevya, au ya ufisadi. Kwa hiyo pia hesabu zote halafu utoe hela za dawa za kulevya na za utapeli. Kama hizo zingekuwepo labda sasa tungekuwa tumewapita. So we are for a quality growth, not just big figure for sake of it.
Hivi tunaongelea Waarabu ama wahindi? You're very stupid.Nani kasema waarabu ni wahindi, umechanganyikiwa? Arabs, indians, chinese had contact with east Africa before your white gods.
Wewe huna hoja..
Kwaheri
Leta evidence mwasiti unaniangusha kuongea bila evidence mwasitiiiii.Hapa Bukoba watu wanakula kinyesi Kama vile kula chipsi mayai [emoji23][emoji23][emoji23] Mimi natafuna Kodi za watu Kibela
Bro we muache huyo jamaa atakuumiza head.Ndugu yangu wewe ni mkenya basi andika kiingereza ni kuelewe, maana kama hujaelewa kiswahili naweza kutumia hata kingereza.
Hujui unachojibu na kwa hiyo hujatoa jibu. Rudi kile nimeandika halafu urudi ujibu hoja yangu. Nimesema miji Nairobi au Dar haiwezi kutamba na utajiri wakati walala hoi wamejaa kila mahali. Kusifia majengo na barabara na ndege wakati unalala kwenye squatters ni ujinga wa hali ya juu, kusifia mabilionea wakati unalala njaa na watoto wako ni ujinga. Tuansifia majiji wakati utajiri unapokuwa shared equallyUtajiri upo na watu wengi Kenya SI hata omba omba wenu wamejaa kila mji mdogo na mkubwa hapa Kenya wakinyooshea Wakenya vibakuli. Nani hajui Nchi yenu Ni omba omba kwanzia Rais wenu Hadi omba omba wenu wanaotorokea Kenya...nyinyi Mali yenu inakamatwa kila siku kwa Madeni, Si South Africa SI Canada, Mara Brazil imewasamehe deni, Mara world Bank, Mara IMF na wengine hatujui. Nyinyi Ni maskini hohehahe Tena bure kabisa 😂😂😂😂 omba omba...SI Ni juzi tu Magufuli alikuwa anapigia Zuma magoti apewe MADAWATI bure?
source tafadhali!Kusema tu ukweli Nairobi ndiyo baba ya East and Central Africa, look at the figures [emoji23][emoji23]View attachment 1212708
Ndugu yangu wewe ni mkenya basi andika kiingereza ni kuelewe, maana kama hujaelewa kiswahili naweza kutumia hata kingereza.
Tanzania's GDP is $55b na Dar pekee has $24b of that. Why can't you do simple arithmetic kabla ya kutoa povu?Ivi una akili kweli wewe? kiuchumi hii huoni ni tatizo nchini kwenu.. Yaani jiji moja kushikilia zaidi ya nusu ya 'wealth' ya nchi ya Kenya na wewe upo apa kumwaga povu
Tanzania GDP =$55bWealthy na GDP ni vitu viwili tofauti, Nashangaa unaitaja vp Nairobi na Tz kwenye sentensi moja...
Utajiri wenu uko NBO ilo liko wazi...
Ujinga Ni kitu kibaya sana
Mngekuwa watu wa juhudi Sana unavyosema Mngekuwa na uchumi kubwa zaidi kutuliko. Sasa Kati yenu nasi, Nani ndo mwenye juhudi?Utaleta statistics zote lakini bila kusita naweza kusema mwananchi wa Tanzania kwa urahisi anaweza kupata mali kuliko wa Kenya. Tofauti ni juhudi za wananchi wa hizi Nchi mbili. Ni bora uzaliwe Mtanzania kuliko Mkenya.
Tatizo lako ni kiswahili. Soma tena post yako, jibu lako liko pale pale.Mngekuwa watu wa juhudi Sana unavyosema Mngekuwa na uchumi kubwa zaidi kutuliko. Sasa Kati yenu nasi, Nani ndo mwenye juhudi?
Do you see us here throwing tantrums on such achievementsTanzania's GDP is $55b na Dar pekee has $24b of that. Why can't you do simple arithmetic kabla ya kutoa povu?
Naisifia Nairobi kwa kuwa Mimi SI masikini na nazitumia miundo mbinu yake vilivyo pamoja na majengo yake ndefu, barabara za aina yake Ukanda huu. Masikini wa Mombasa Ni tofauti Sana na masikini mshamba wa Dar es salaam, sababu ikiwa Ni exposure.Hujui unachojibu na kwa hiyo hujatoa jibu. Rudi kile nimeandika halafu urudi ujibu hoja yangu. Nimesema miji Nairobi au Dar haiwezi kutamba na utajiri wakati walala hoi wamejaa kila mahali. Kusifia majengo na barabara na ndege wakati unalala kwenye squatters ni ujinga wa hali ya juu, kusifia mabilionea wakati unalala njaa na watoto wako ni ujinga. Tuansifia majiji wakati utajiri unapokuwa shared equally
Just stumbled on this site and am appalled that we do not understand simple concepts and facts. How can you compare Dar with Nairobi? First, understand that the two cities have different challenges and cultures which dictate what is prioritized. Am surprised someone wanted to compare maritime transport in the two cities and hotels. Any sane person knows that Dar is both a tourist resort city and a business hub so the number of 4/5*hotels are likely to be higher. For Nairobi, the hotels are mostly reserved for business people, diplomats and travelers making a stopover. Hence, you’d expect more malls, offices, condos and apartments compared to Dar because that’s what the market needs. We don’t just build for the sake of building or competing. Our economy is directed by demand and supply not like Tanzania and Ethiopia where the government is building skyscrapers and hotels just to make the country appear competitive.
On wealth, you have to understand that most of Kenya’s wealth is distributed to people hence the high number of high net worth people compared to Dar (one advantage of Capitalism). On that note, we shouldn’t even bother discussing BRT coz transport is privatized in Kenya which is also contributing to that big number of dollar millionaires. Owning a 14-seater matatu guarantees you a minimum of $900 per month if on town service and $1500 p/m on long distance. Those 33 seaters get you double and most matatu investors here have at least 2 of them. Meaning one family takes over $2000 p/m. You see why it’s not easy to replace them with BRT? In fact, even in the current proposal, private citizens will get a bigger share of BRT compared to government. The matatus and boda boda business was a flagship of the ESP (Economic Stimulus Program) introduced by Kibaki’s government to add more wealth to people especially the semi-illiterate. Hence, before introducing BRT we have to consider where these people will go.
Still on wealth, we have to agree we are richer; our per Capita is well past $1900 compared to Dar’s $980. In fact, more money is on private hands and not government. Meaning that person in Kibera has a bigger chance of succeeding compared to one in a socialist or communist country. A bank like Equity (second largest and fully privately owned) makes $190m which is more than what the two biggest banks in Tanzania make combined. This money goes back to private investors who are Kenyan therefore distributing wealth compared to Tanzania where a bigger share goes back to government. In fact, the largest bank in Tanzania makes the same profit as I&M which is like the 10th largest bank in Kenya.
On infrastructure, as I said earlier, the two cities have different challenges and cultures which dictate what is prioritized. For instance, Kenya cannot add a new stadium when we can barely fill Nyayo or Kasarani. The only thing is to maintain the old stadiums and build small 5-10k capacity stadiums like the new Dandora Stadium which I can still guarantee would be half empty most of the times even if they say its free entry. On roads, we have a lot of private cars on the road hence the big number of flyovers. Mass transit like trains or buses would have eliminated the need for those flyovers. Just look at Casablanca, am not even sure whether they have a single flyover.
I can go on and on, but the only thing I’d encourage members of this forum is to think first before engaging in any debate just for the sake of supporting your country.
haha, am currently doing a study for a corporate client on Tanzania's economy. I've also done a couple of them as an assistant but this is my first time leading one and I've managed to travel there like 5 times this year alone. Been to all your major towns. I was also a big fan of the late Reginald Mengi and I've read enough from him too. I think I know more than enough.You know nothing abt Tanzania broh, you better shut up or keep talking abt kenya.