Nairobi is twice richer than Dar and only $6bn dollars away from reaching Tz GDP.

 
The issues of hunger in Northern Kenya are administrative. They should blame their governors who are flying choppers to Nairobi daily. You guys never want to accept we're more than twice richer. Once we operationalize LAPSSET, start selling oil, rebuild Somali and South Sudan we'll more than triple you. Let's not mention the SILK road. Kenya is the next best bet for Africa and we'd be happy to lead the new phase of growth for the continent alongside worthy competitors like Ethiopia. Yaani I cannot even sya how much I admire Ethiopia as a Kenyan. These guys have managed to beat Kenya as the manufacturing hub of Eastern Africa despite having a civil war while you Tanzanians were just there spectating and now busy blocking Kenya's businesses from crossing the border.
 
Tii sheria bila kushurutishwa
 
Tii sheria bila kushurutishwa
Ours is a free market, survival for the fittest. Mambo ya sheria ni mwenye kujitetea zaidi kwa koti. Inauma lakini inakulazimisha hata wewe kujikakamua ili uchunge familia yako na kuwapa watoto wako masomo ya hali ya juu ili pia waweze kuongoza nchi siku moja, kama wewe hutaeza. Hata sai mkewe Kohen anaeza jitetea na kukosa kuhukumiwa regardless of the amount of evidence linking her to Kohen's murder.
 
Tanzania GDP =$55b
Dar's GDP = $24b
that's only $7 shy iwe double ya uchumi wenu wa nchi. Kweli nyani haoni kundule
Dar GDP sio $24B ,unajichanganya sana,wealthy sio GDP ushaambiwa huelewi. ..
Btw tz GDP is now $60'sB wewe unaleta habari za 2018 mwaka huu
 
Na asiyejua ucgumi wa tanzania unashikiliwa na wahindi km watano hv..wnegine usiulize ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchumi wa Tz ni Watanzania wenyewe

Hao Unasema wahindi siyo kweli ni Watz chotara wamezaliwa hapahapa BONGO land
 
Km mnavyojidanganya...yani unakubali mtu mwengine akutawale kisa mchepuko wa babako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchumi wa Tz ni Watanzania wenyewe

Hao Unasema wahindi siyo kweli ni Watz chotara wamezaliwa hapahapa BONGO land
 
I repeat, you know nothing. Mkenya yoyote lazma utuchukie Tz just like you, if you ask them why, tgey dont know. Sis hatuna chuki na nyie, mumejaa huku kibao, tumewapa makazi yetu, waalim wa kikenya wamejaa huku, mmejaza maofisi yetu kwa miaka mingi, tulikua na bidhaa zenu kuanzia vijiko hadi uma hadi vikombe ila sasahv Tz wasomi wameongezeka tunawapa nafasi wasomi wetu, hatuchukui tena bidhaa zenu tumekua kiviwanda, ajira zipo kuliko kwenu na hambenefit kwetu kama zamani turns out sis ndo tunabenefit kwenu tuna export bidhaa kuliko nyie, tumebana kila kona ndo mnaanza kuleta zongo. Na tunewaachia flyts zenu dar to nairobi mana ATCL ikianza safar zake za dar to nairobi tutakua tumewanyima kila kitu. So chuki zenu ni kwasababu hatuwategemei kama zaman, sas hv tupo kivyetu na tunategemea uchumi wetu wa ndani. Unatulaumu kwa kumnyima mtu wenu ajira vodacom, kwann msimpe za safarcom mana zimekaliwa na wazungu tupu
 
No one is hating you boss, but your selfishness imevuka mpaka.
 
Fool u snatched a territory from Somalia n now u want Tanzania to support u! U r the biggest fool of this century. Try to get facts how thieves r u trying to be! A reason u fear ICJ as I know Somalia will win the case!

Even the UN rejected ur evil ploy to renounce Al Shabaab a terrorist group. After Kenya the invader requested the UN to do so. See the evidences below on boundary dermacations !



If Somalia is to win the Kenyan maritime economic zone will look this way, cha ajabu mmeanza kukimbia huko ICJ!



Meaning over 38000 sq km will be under Somalia mandate




Somalia has this map to back up their claims


And this map
 
jamaa wabinafsi na wezi vlevle,
 
Hatujasema tunataka usaidizi wa Tanzania, already we're cruising straight to the U.N. Nothing will stop Kenya's desire to have a seat at the U.N right now and the first order of business will be Somalia. You are the same people who failed to support Kenya's bid to have Amina Mohammed head the AU sijui ni wivu ama nini. Somalia will not be having an inch of that location
 
Wakenya mbona mnangoa chai [emoji23][emoji23][emoji23]

REDEEMER


Good business people know that change is inevitable. They aren't uprooting to leave the land bare but use the land for better income-generating opportunities. Kama huna a better argument just shut up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…