NAIROBI is way ahead of Dar Es Salaam.

Nairobi metropolis is huge!!! The African skyscrapercity!!!
 
Muda ni mali...
Why keep on keeping on discussing the same things. We need new stuff like OBOR issues and what are policies drafted by African States as we know China has her Sino-AfroPolicy.
 
Muda ni mali...
Why keep on keeping on discussing the same things. We need new stuff like OBOR issues and what are policies drafted by African States as we know China has her Sino-AfroPolicy.
Ile ni versus hii ni ukwelii so shut the https://jamii.app/JFUserGuide up
 
Unajua kirefu cha "SUKARI" Kenya kwa sasa hahaha
waambie wakueleze
 
Unajua kitu ambacho hufahamu ni kwamba huwezi compare beach side property na jungle. Ni sawa na ku compare California na detroit. Au new york na texas. DAR is more valuable than nairobi labda muinvest zaidi in mombasa tutaongea
My Dar Es Salaam
 
Nairobi ipo juu ya Dar kwa Uhalufu,Umasikini wakutupwa
vibanda vichafu,Ukabila na Ghalama ya Juu ya vyakula hapo sawa
 
Kuongezeka kwa hizi threads za kuringanisha mambo yaliyoko Kenya dhidi ya Tanzania na hasa hasa hizo threads kuwa zina anzishwa na wa Kenya ni dalili tosha Tanzania inawapa wakati mgumu sana nyie wa Kenya.......TZ itakuwa inawakimbiza.
 
Sikujua hilo sisi tunafanya yetu kwa faida yetu kumbe kuna watu wana karibia kupasuka vifua kwa kukosa pumzi......endeleeni kumfukuza MTz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…