Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Duuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!