Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wewe bado u still wish to be kenyan, the guys are superb thoughDuuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
Tena anatamani sana kuwa mkenya lkn basi tuWewe bado u still wish to be kenyan, the guys are superb though
Nimetafuta sana kuona vifaa vya nuclear katika hio video yako lakini sijaona.Duuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
Huyu ni mkenya tena Mkikuyu hiyo "kado" badala ya "kando" naiskia kwa Wakikuyu!Wewe bado u still wish to be kenyan, the guys are superb though
Nani unakumbuka akisema kwenye uzi flani kwamba yeye anatoka 'thedegua'? 😂 😂 😂 😂 Google Earth jamani!!Tena anatamani sana kuwa mkenya lkn basi tu
Mzee kaniacha hoi aisee, jamani mpka namuonea huruma..yani hyo habari ilivyoandikwa mpka nikajikuta nimeangua kicheko mwnywe km chizi vile hadi washkaji wakaniulizia nn mbya..Nani unakumbuka akisema kwenye uzi flani kwamba yeye anatoka 'thedegua'? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Google Earth jamani!!
Huyo ka si pseudo yako ni your twin broHuyu ni mkenya tena Mkikuyu hiyo "kado" badala ya "kando" naiskia kwa Wakikuyu!
Mkikuyu aliyeathirika na lugh aya mama hawezi kosea neno "kado" alafu "dogo" akaandikia vizuri kihvo acha utetezi wa kivala..Huyu ni mkenya tena Mkikuyu hiyo "kado" badala ya "kando" naiskia kwa Wakikuyu!
Duuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
Ila jamaa ni Mkikuyu tena pure! Nina uhakika "dawa" huita "Ndawa"!Huyo ka si pseudo yako ni your twin bro
Kukaa na wakikuyu haimaanishi wewe ni mkikuyu, huyo ni msukuma period, he jus wishes he was a kenyanIla jamaa ni Mkikuyu tena pure! Nina uhakika "dawa" huita "Ndawa"!
Jamaa alisomea kenya, USIU AlumniDuuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
sikiliza pronounciation hiyo..."prekovidi days"!, "rastyear"!, "significountry"! "pranted"!, "liching"!Duuh,
Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama..
Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear!
Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
Huyu mwache tu hivo, few can stand next to him in what he has achieved na hio kizungu yake ya murangasikiliza pronounciation hiyo..."prekovidi days"!, "rastyear"!, "significountry"! "pranted"!, "liching"!
Ila ni ugonjwa yaani jamaa kasoma all the way mpaka chuo still can not manage to pronounce simple english words! At least he can afford a pronounciation translator!Huyu mwache tu hivo, few can stand next to him in what he has achieved na hio kizungu yake ya muranga
Kiraitu is a havard graduate, but a typical meru with a very heavy accent, an african will remain to be an african especially those from the 60's to 80's, there are those that can switch accents and those that even never try,young generation ndio we care with accents i.e. this akorino guyIla ni ugonjwa yaani jamaa kasoma all the way mpaka chuo still can not manage to pronounce simple english words! At least he can afford a pronounciation translator!
accent imempa Larry Madowo kazi tena akiwa hata degree hana!Kiraitu is a havard graduate, but a typical meru with a very heavy accent, an african will remain to be an african especially those from the 60's to 80's, there are those that can switch accents and those that even never try,young generation ndio we care with accents i.e. this akorino guy