Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Karani wa uchaguzi katika eneo bunge la Dagoretti Kaskazini, Kaunti ya Nairobi, alikabili ghadhabu za wapiga kura walioshutumu kwa udanganyifu katika uchaguzi.
Afisa huyo anadaiwa kumpa mpiga kura karatasi nne za kupigia kura za nafasi ya Mbuge katika kituo cha shule ya Msingi ya Gatina.
Wapiga kura wengine walipata taarifa za matukio hayo na wakamrukia papo hapo wakimpa kichapo cha mbwa mwizi.