NAIROBI, KENYA: Mahakama yaamuru Televisheni zilizofungiwa zifunguliwe

NAIROBI, KENYA: Mahakama yaamuru Televisheni zilizofungiwa zifunguliwe

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.

Source:BBC World news

The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.

The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi

Court suspends TV shutdown in Kenya
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mahakama Kuu imetengua agizao la Serikali la kufungia vituo vya runinga vya NTV, Citizen Tv na KTN

Vituo hivyo vilifungiwa kwa kurusha moja kwa moja tukio la kuapishwa kwa kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga

Hadi sasa hivi, vituo hivyo bado havijafunguliwa na hakuna dalili kama Serikali itatii agizo hilo
 
Mahakama nchini Kenya imetengua amri ya serikali ya kufungia television tatu nchini Kenya
I saw this on the BBC and thought you should see it:

Court suspends TV shutdown in Kenya - Court suspends TV shutdown in Kenya

Hapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
 
Hapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
Is it wrong doing?
 
Hapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
Mara mia moja ya hao wakenya na hatua zao hizo za kupambania haki na demokrasia yao, kuliko sisi huku Tanzania ambapo miaka mitano ni kutumbua na kuteua, kubomoa majengo, kuhonga, kujiuzuru na kurudia uchaguzi.
Kisa? Washamba wamepewa kuongoza nchi.
 
wawafungulie tu kuapishwa kumesha pita
siku ya kuapishwa makamu na mawaziri feki vinapigwa pini tena mpaka mahakama itakapo amua vinginevyo
 
Is it wrong doing?

Sijui, ila kwangu mimi ni kosa kubwa saba kwa nchi inayoendelea kukabidhi nchi kwa Wanasheria, hao wanapaswa kuja wakati nchi ishaendelea tayari, tumeona hapa kuna Watoto wamelelewa na Mbwa na wanakunywa maziwa ya Mbwa, hawa hawahitaji ujinga wa Wanasheria kwenda Mahakamani kila siku bali wanahitaji huduma na wanahitaji sasa hivi!
 
That is freedom of Judicially.

Hayo ni mambo ya Kizungu amini nakwambia, na hata Wazungu wenyewe yanawazidi wakati mwingine, Afrika tuko chini sana kwenye ngazi za kimaendeleo kuanza kukimbizana Mahakamani sasa hivi kila siku kwa kila jambo, ni kucheleweshana tu, lkn hayo ni maoni yangu!
 
"Courts in Tanzania, are courts of technicalities while courts in Kenya are courts of justices" Discuss (20 marks)
key words:
1.meaning of Courts, technicalities and justices...
2.formation of those courts...
3.Main body
4. Recommendation
5. Conclusion
hahahahhahhahh. ehe! nimepata maksi ngapi? isije ikawa maksi za namba za viatu vya watoto.
 
Kenya wanapitia matatizo mengi sana na makubwa ambayo kimsingi sisi Watz bado tuna miaka kama 30 zaidi kuyafikia hayo matatizo. Swali la kujiuliza ni tukija kufikia walipo sasa wenyewe watakuwa tayari wanaingia 'golden ege'!
 
Walioipongeza serikali ya Kenya kwa kuvifungia hivyo vituo ndiyo watakaoipongeza mahakama kwa kutengua maamuzi ya serikali kuvifungia.

Kama hujui unakoelekea huwezi kupotea.
 
Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.

Source:BBC World news

The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.

The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi

Court suspends TV shutdown in Kenya
certificate of urgency only applies in kenya
huku kwetu hata kutoa rulling kuhusu bail hakimu anarefresh wiki nzima
 
key words:
1.meaning of Courts, technicalities and justices...
2.formation of those courts...
3.Main body
4. Recommendation
5. Conclusion
hahahahhahhahh. ehe! nimepata maksi ngapi? isije ikawa maksi za namba za viatu vya watoto.
TECHNICALITIES

There is no single and conclusive definition of the term, legal technicality, but the court attempted to define it.

In the case of James Muriithi Ngotho & 4 others v Judicial Service Commission [2012] eKLR (KENYA) where they defined the terms separately using the Black’s Law Dictionary 9th edition and the Concise Oxford English Dictionary. Some of the legal technicalities which govern the legal procedure either enables or restrict access to justice in courts. Examples of these technicalities include:
>statutes of time limitation,
>rules of appellate procedure,
>civil procedure, and
>stay of proceedings.
 
Back
Top Bottom