Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Mahakama nchini Kenya imetengua amri ya serikali ya kufungia television tatu nchini Kenya
I saw this on the BBC and thought you should see it:
Court suspends TV shutdown in Kenya - Court suspends TV shutdown in Kenya
That is freedom of JudicialHapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
Kigezo cha Uhuru wa Mahakama sio kupinga Maelezo ya SerikaliThat is freedom of Judicially.
Is it wrong doing?Hapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
Mara mia moja ya hao wakenya na hatua zao hizo za kupambania haki na demokrasia yao, kuliko sisi huku Tanzania ambapo miaka mitano ni kutumbua na kuteua, kubomoa majengo, kuhonga, kujiuzuru na kurudia uchaguzi.Hapo sasa hakuna kingine cha kufanya isipokuwa kushindana kutafsiri Katiba tu, ndo shida ya kukabidhi nchi kwa Wanasheria miaka 5 itafika mnazunguka kwenye cycle tuu Mahakamani, Polisi, Maandamano!
"Courts in Tanzania, are courts of technicalities while courts in Kenya are courts of justices" Discuss (20 marks)bongo mahakama mapengo! hakuna meno
Is it wrong doing?
That is freedom of Judicially.
key words:"Courts in Tanzania, are courts of technicalities while courts in Kenya are courts of justices" Discuss (20 marks)
certificate of urgency only applies in kenyaMahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.
Source:BBC World news
The Kenyan government shutdown of the three largest private TV channels has been suspended by a Kenya high court pending a full hearing.
The channels had been shut down as they had planned to broadcast opposition leader Raila Odinga's unofficial "inauguration" in Nairobi
Court suspends TV shutdown in Kenya
Hata ya kijinga?Kigezo cha Uhuru wa Mahakama sio kupinga Maelezo ya Serikali
Kazi ya Mahakama sio kupinga Maamuzi ya kijinga ya Serikali, jifunze kwanza hilo then tuendeleeHata ya kijinga?
TECHNICALITIESkey words:
1.meaning of Courts, technicalities and justices...
2.formation of those courts...
3.Main body
4. Recommendation
5. Conclusion
hahahahhahhahh. ehe! nimepata maksi ngapi? isije ikawa maksi za namba za viatu vya watoto.