Nairobi, Kenya: Padri akamatwa kwa madai ya ulawiti, afumwa kitandani na kijana

Nairobi, Kenya: Padri akamatwa kwa madai ya ulawiti, afumwa kitandani na kijana

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
6a872de64a51f5f0bdb2499c39034b8c.jpg
Polisi nchini Kenya imeripotiwa kumkamata Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Gonda, Kigumo anayeshutumiwa kufanya mapenzi na mwanamume mwenzake.

Polisi imesema jana kwamba wanakijiji wa Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya wamekuwa wakimfuatilia Padri huyo ambaye wamekuwa wakimshuku kuwa ni shoga na kuvijuulisha vyombo husika baada ya kumuona kijana wa miaka 18 akiingia nyumbani kwa Padri huyo Jumatatu iliyopita.

Polisi imesema iliwakuta watu hao wawili wakiwa wamelala juu ya kitanda cha Padri na baada ya kuhojiwa wote wawili walikiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa jinsia moja.

Mahusianao ya jinsia moja ni kinyume na sheria katika mataifa ya Afrika. Mashoga katika mataifa mengi wanakabiliwa na vitisho, na adhabu ya mahakama.

Sheria ya Kenya inapiga marufuku kitendo cha aina hiyo. Jirani yake Uganda ilipitisha sheria ya kifungo cha maisha kwa baadhi ya vitendo vya ushoga lakini mahakama ya katiba ya nchi hiyo ililipinga hilo.

Chanzo: DW kiswahili
 
Daah
Hilo kanisa y lisifsnye mtaguso mapadre waoe watt wetu wasalimike mtaani

Sijui kama ulitulia kabla hujaandika. Kwani umesikia alikamatwa na msichana?? Alikamatwa na kijana wa kiume, mwenye mpini ka wake pia.
Tatizo sio kuoa, hata angelikuwa na wake 7 lakini kama yeye ndio hufumuliwa, atamwomba mfumuaji aje kumfumua. Nadhani mbegu iliyomtunga ni miongoni mwa zile za kutoka kwa shetani tu. Dini hiyo, ina matatizo
 
Hata humu wengi tu wamelawitiwa angalia hata comment zao utagundua,yaani ukiwa kijana halafu upo katika hilo dhehebu mi siwezi hata kuongea jambo na wewe
 
Duh Padre mzima anapiga mini kabang 😳

Mungu tunusuru
 
kanisa limechafuka SANA. kwa miongo mingi mapadri wamekuwa wakiwadhulumu watoto kingono. Vatican haikuwahi kuchukua hatua DHIDI YA uovu huo. juzi juzi hadi UN wakaingilia kati kuwataka Vatican kuwaomba msamaha wahanga wa matendo hayo.
 
Back
Top Bottom