Maisha Nairobi imekuwa ngumu kuliko kawaida. Despite low official inflation figures, reality kwa ground ni tofauti kabisa — gharama za maisha zimepanda, but mshahara bado iko stagnant.
Data kutoka Kenya National Bureau of Statistics inaonyesha kuwa households nyingi especially urban areas wako under serious pressure. Purchasing power imeendelea kushuka, meaning pesa haitoshi kama zamani.
Where the money goes:
32.9% ya income inaenda kwa food
13.5% inaenda kwa fuel na rent
Cost of living index imepanda by 4%
Hii inaonyesha wazi kuwa essentials kama unga, sukari, na stima zimekuwa luxury kwa wengi.
Watu wengi wanalalamika kwamba payslip imekuwa “thinner” kila mwezi. Between PAYE, Housing Levy, na SHA deductions, unajipata pesa imeisha before mwezi iishe.
“Salary inaingia, but within days imetoka. Rent, food, na fare zinakumaliza kabisa,” this is the reality for many Nairobi residents. Kenya sasa imekuwa most expensive country kuishi ndani ya East African Community (EAC), na hii imeacha wengi wakistruggle kulipa rent, school fees, na hata basic needs.
The bigger picture:
Families nyingi sasa zina cut down on meals
Wazazi wanapata shida kulipa school fees
Savings imekuwa almost impossible
Swali ni: How long can this continue?
Je, serikali inafaa kufanya nini kusaidia mwananchi wa kawaida?
Wadau, how are you coping with hizi gharama za maisha? Umechange lifestyle aje?