Nairobi-made satellite ready for launch into space

South Africa, Nigeria, Ghana, Mauritius, Algeria, Egypt.
Kuna satelites zaidi ya 8,000 kwenye orbital space. Kati ya hizo 1700 bado zinafanya kazi.
Hakuna nchi yeyote ya Africa yenye satellite yake ya kutengeneza yenyewe.
nilitaka kumshangaa mkuu.
 
Ghana brooo
ukisikia nchi imekizi vigezo vya kurutubisha madini ya urenium ndio inauwezo wa kutengeneza na kulusha satelitte yakwao wenyewe.

kama huna vigezo huwezi kuluhusiwa na lazima utakua chini ya settelite za wazungu tu.
 
Leo ndiyo nimeelewa kwanini mdomo na anus both are two openings of the same tube, but the owner treat them completely different[emoji23] [emoji23] [emoji23]

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…