MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
The struggle is real,this guy will be doing time for stealing underpants, who knows anaweza kuwa hata MK254 au pingli-nywee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂that humour thoughMmmh! Kumbe ni kwenye supermarket. Nikadhani aliiba pichu ya demu flani mwenye liwowowo la ajab kama kumbukumbu, baada ya kumchezea rafu ile mbaya kwenye game ya bedminton. Sasa hapo ndio ingekuwa labda ni mimi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha nyudo zako maisha magumu watu wanaiba underwear apate hata ugali omeenaa.Hehehe nyie tangu mshikishwe ukuta na wazungu kwa ajili ya ukurupukaji wa Bashite, naona mumepoteza network hadi sasa mnaleta mada za chupi....hehehe
Sasa kama mnaiba mpaka chupi, huu ni umasikini wa first class kabisa. And, for the normal minds this is a big story.Hehehe nyie tangu mshikishwe ukuta na wazungu kwa ajili ya ukurupukaji wa Bashite, naona mumepoteza network hadi sasa mnaleta mada za chupi....hehehe