Nairobi man in court for stealing underwear

Mmmh! Kumbe ni kwenye supermarket. Nikadhani aliiba pichu ya demu flani mwenye liwowowo la ajab kama kumbukumbu, baada ya kumchezea rafu ile mbaya kwenye game ya bedminton. Sasa hapo ndio ingekuwa labda ni mimi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehe nyie tangu mshikishwe ukuta na wazungu kwa ajili ya ukurupukaji wa Bashite, naona mumepoteza network hadi sasa mnaleta mada za chupi....hehehe
 
Hehehe nyie tangu mshikishwe ukuta na wazungu kwa ajili ya ukurupukaji wa Bashite, naona mumepoteza network hadi sasa mnaleta mada za chupi....hehehe
Acha nyudo zako maisha magumu watu wanaiba underwear apate hata ugali omeenaa.
 
Hehehe nyie tangu mshikishwe ukuta na wazungu kwa ajili ya ukurupukaji wa Bashite, naona mumepoteza network hadi sasa mnaleta mada za chupi....hehehe
Sasa kama mnaiba mpaka chupi, huu ni umasikini wa first class kabisa. And, for the normal minds this is a big story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…