Nairobi Matatu Culture...The one of its kind in the World...Made in Kenya.

Its good but you but not to its best..Nairobi is planning to use electric cables instead
 
Thts if wakiweka brt in every part of Nairobi, but 1 or even 5 brts cant sufficiently serve the whole of this growing city.
Even Dar the BRT dont and wont serve all routes, the next phase will go to Mbagala etc...so even Nairobi can embrace the BRT for some routes and matatu continue with the other routes..the BRT is effecient and oderly no Mungikis and those shameless touts...
 
Migari ya Dar matangazo ya Nmb, Halotel na Makampuni. Kama watu Art in galary wangechance, ingekuwa poa
Ni kweli ingekua poa sana ila ndugu hii artwork ya haya ya Nairobi ni aghali sana kuanzia kupiga rangi,kuadika maadishi au kuchora picha na ndio maana nyingi hapa Dar wanaweka sticker kama za Chelsea n.k
 
Halafu ukiingia ndani ya hizo Matatu wanapiga mziki mkubwa mpaka masikio yanaumia
Kwa kweli jambo hili huwa linakera sana. Na madereva hawaelewi kabisa madhara ya hizo kelele
 
Kudadeki!Umemuona Spiderman mwenyewe?Ukija na longolongo zako wakati wa kulipa nauli aisee,unakunyayua na nyuzi zake zile kisha anakufungia kule juu kwenye carrier.Uscheze na nai wewe!
 
They are nice at looking, but make the city overcrowded, busy and noisy area like Kencom(ambassador kwa stage) na huku near nawekana sacco very busy..... A plan should made such that all public transporter(matatus) park in peripheral and let people walk on foot to enter the city,,,,, only private cars should be allowed to get into the city ndaaaani ndaaaani kapsa
 
Wakenya wanatuzidi katika biashara za town buses. Mug anabolesha gali yake na bei yake nitakuwa tofauti. Apa bongo ata uboleshe gali na owe na a.c., ufunge Wi-Fi, music Mzuri, tv, classic sit, na husimamishi ability ndani. U toze 1000 toka cm to ubungo., utaijiwa na Sumatra. Muda ushafika tube na uhuru wa soko. Waachwe watu huru ili soko liamue. Sua mawazo ya Jamaa tuyaache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…