Nairobi Matatu Culture...The one of its kind in the World...Made in Kenya.

ondoeni hayo majitu nitaota usiku....khaaaa!!!! hizo ni daladala au mazombi!!!!???
 
afu mkuu ukiangalia vizuri utakuta hiyo mibasi kama imefanyiwa modification yaan kama hapo kabla ilikuwa canter au fuso....
 
Kumbe Kenya ni waganga wa kienyeji duuh hii migari inafanana na ya nchi moja hivi inaitwa Gamboshi.
 
Hii taka taka hairuhusiwi Dar el Salaam.
 
Utaumiza vichwa vya watz bure tu, wabongo na street art au graffiti wapi na wapi? Wanachojua ni vile vibonzo vya kina Madenge tu, na wale madem wake wenye mawowowo ya kichina!
 
At least umebonga for once...but iyo Brt yenu vile hujaa hadi wasee wanasimama si better nganya za nai nakaa solo nkiskiza mziki mos mos..
kujaa ni kawaida sana. hata metro za London na turnelbana za Stockholm zinajaa pia. uzuri ni kuwa hazisimami kwenye foleni.
 
Reactions: Oii

usilinganishe BRT na VITU vya hovyo kama matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…