Nairobi ni Jiji kubwa East and Central Africa but......

Nido maana hayo ma3 yamekaa kinyang'au kweli yani ugly ...
ila nasikia ndani ni disco damn hivi nyie makwenu hamna radio?
Hehe kumbe hujawai toka Dar is Slum.Endelea kusikiliza radio
 
You posted the pics for us to see and judge them ..those are good roads but ugly looking roads
 
Tuusan ...know this are good and beautiful roads ..see the diffrence[emoji23][emoji23]
And we insist, Dar es salaam has no roads as good as Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru.........Kenya is way ahead of the pack in this region.
 

Nairobi city traffic maybe chaotic, but it is an organized chaos. Not as terrible as u are describing it!







See the matatu lanes on the left of this photo




 
 

Attachments

  • FB_IMG_1488730757385.jpg
    27.4 KB · Views: 70
Hahaha mnachekesha...izo picha ni me vile zimepigwa na simu tu Ila sio kwamba ndio the best nimeonyesha sample tu...kuweni wapole

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
pugu road hiyo

ingine hyo

ingine hyo
Ndo ushatuaibisha! Hawa jamaa shindana nao kwenye mambo mengine sio barabara! tena za Nairobi ndo usiongelee kabisa.
Ukitaka kuwaweza hawa Waulize kama washawai kutumbua jipu? Au kufoji cheti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…