Nairobi resorted into drilling boreholes to curb cholera and COVID19 spread

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Nairobi City has experienced a tremendous transformation in water provision as part of the war against the spread of coronavirus.93 boreholes in three months, In this special documentary, the journey of that transformation, we talk to the stakeholders on what it means to livelihoods and the entire war against covid19 pandemic.

yaani wanachimba visima kwa ajili ya kuchotesha maji wakazin wa nairobi badala ya kupeleka maji majumbani kwao!
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
 
hahah Bongo hata vijijini wana-supply maji sasa kwa kwenda kwenye nyumba za wanavijiji!
 
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.

Saa zingine ignorance ni mbaya. Do you know the difference between a borehole and a well?

from a borehole, water is pumped to tanks high up the ground and then supplied to houses
 
Tony254,

Big jidipi, mnashindwaje kuvuta maji kutoka lake Victoria mpaka Nairobi? Yaani mji mkuu wa serikali na biashara na ulio na mashirika ya kimataifa mnachimba boreholes? Wajinga sana nyinyi.
 
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Kuna tofauti ya kisima(well) na borehole, alafu hapo Bomba mbili, Dark est Sluum wakaazi wanalia hawajaunganishwa umeme tangia Tz kupata Uhuru.
 
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Hivi dar hakuna visima[emoji23][emoji23]
 
from a borehole, water is pumped to tanks high up the ground and then supplied to houses
Hard water, na baridi hiyo mtapauka kama mmemwagiwa cement kwa kukoga maji ya visima.
 
A bunch of who don't know that borehole water can be pumped to houses. Nothing wrong with utilizing underground water when the city is not blessed with big rivers.
 
Back
Top Bottom