Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Yaani wanachimba visima kwa ajili ya kuchotesha maji wakazin wa nairobi badala ya kupeleka maji majumbani kwao!Failed state
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.yaani wanachimba visima kwa ajili ya kuchotesha maji wakazin wa nairobi badala ya kupeleka maji majumbani kwao!
hahah Bongo hata vijijini wana-supply maji sasa kwa kwenda kwenye nyumba za wanavijiji!Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Kuna tofauti ya kisima(well) na borehole, alafu hapo Bomba mbili, Dark est Sluum wakaazi wanalia hawajaunganishwa umeme tangia Tz kupata Uhuru.Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Hivi dar hakuna visima[emoji23][emoji23]Sasa kama Nairobi watatumia maji ya kuchota kwenye Visima, vipi kuhusu NYUMBA zenye ghorofa, huko juu watapandishaje hayo MAJI?, Visima ni kwa ajili ya vijijini. Nchi imeshasambaratika hiyo.
Hard water, na baridi hiyo mtapauka kama mmemwagiwa cement kwa kukoga maji ya visima.from a borehole, water is pumped to tanks high up the ground and then supplied to houses