Nairobi SGR Terminus vs Dodoma Bus Station

Yani bado mnajenga stendi tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado mnajaribu kujiliwaza baada ya pipeline kupigwa na chini[emoji122][emoji122][emoji122]
Nan kakwambia pipeline tumepigwa chini??
 
hiyo stand ya dodoma mbona pafinye sana?
 
Mtuache na Nairobi yetu

Hata kama tunaabiri kwenye mabanda ya kuku
Daaah hawa majamaa wamechukua kichwa cha Mitsubishi canter wakaweka body ya bus kwa nyuma daaah maaninnaaa.!!!!!!
 
Reactions: Oii
sijui utoto utwaisha lini....haya umecompare so what?
 
Nairobi Terminus


VS
Dodoma bus station


MY TAKE
Dodoma bus Station is as good as Nairobi Terminus. BTW some buildings at Dodoma bus station r having up to 4 floors! whereas at Nairobi Terminus 2 floors!
Render vs building, apples vs oranges.
 
Daaah hawa majamaa wamechukua kichwa cha Mitsubishi canter wakaweka body ya bus kwa nyuma daaah maaninnaaa.!!!!!!
Kama hujui gari nderesi ndio hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…