Kenya ndio kitovu Cha East Africa hvyo akiyumba yeye kila kitu kinayumba.
Sababu kubwa ya Kenya pesa yao kuyumba n kwamba wananunua Sana na wananunua kwa volume kubwa na Kasi kubwa hvyo wanahitaji dola nyingi mkononi kwa dola nasasa dola haitulii inazidi kushuka ndipo hapo ksh inashindwa kuvumilia mapigo.
Tanzania tunatumia dola kuagiza vitu nje Ila volume yetu n ndogo compare na Kenya ikimaanisha sisi hatununui sana kwadola ndiomana viwanda n vichache hata representative office za makampun Tanzania n chache.
Hali Kama hii angekuwepo mwamba himself, one-man show, JPM mnyama mkali pesa ya Kenya dhid ya Tanzania ingekuwa 1-10 hata hk tunachokiona n effect zake JPM kipindi Cha korona na misimamo mbalimbali ya kibiashara baina ya Tanzania na mataifa mengine duniani.